Wakabambee58
JF-Expert Member
- Aug 14, 2020
- 1,302
- 1,939
Si wamteue tuu, na sisi tupumzike kusikia vilio vyake??tumbili acha uchawa, nenda kalime mawese upate kipato chako halali na kusomesha wanao!
Uchawa sio kazi bro ni kujidhalilisha tu!
Kwani, Wewe ni mchumia gongoni?Kafulila ni mchumia tumbo. Hayo ameandika ili tu akumbukwe. Hana jema huyo. Tumbili ni tumbili tu
Hujasema tuingie Ila ameonesha kuwa sio kweli nchi yetu imekopa sana,Kwa hiyo Kafulila anashauri tujitahidi mpaka tuingie kwenye hiyo 25 bora?.
Sasa nimeamini akili ya Mwanasiasa ni kama mwili wa Kinyonga, hubadilika kuendana na mazingira aliyopo wakati huo...Sidhani kama angeongea hivi kama angekuwa upinzani.
Anaakili kama za kwangu nampongeza kwa uoni wake mikopo ya kimaendeleo kwa taifa sio mikopo ya kuuzia vitumbua hii ni mikopo endekevu ya kuendeleza taifa.Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe David Zacharia Kafulila kupitia ukurasa wake wa Instagram amewafunda wanaolalamika Kuhusu ukuaji wa deni la Taifa huku akisisitiza tukope zaidi ili tujenge uchumi wetu kwani hata Japan ambayo ni nchi ya tatu Duniani kwa Utajiri bajeti yake 40% ni mikopo tuache maneno maneno Tanzania tuko vizuri,
===
Kafulila anasema, Ripoti ya UNDP Nov2022, imetaja nchi54 zenye hali mbaya ya deni la Taifa Dunian, huku 25 zikitoka Afrika wala Tanzania sio miongoni mwao,
Kafulila anaendelea kwa kusema " Ripoti za Taasisi ya MOODY'S, ambayo ni moja ya taasisi 3 kubwa duniani kwa kupima afya ya uchumi kumudu kulipa deni ( MOODY'S, S&P na Fitch zinamiliki 95% ya biashara hii duniani), Agust 2021 na Oktoba 2022 imeonesha Tanzania bado inafanya vema usimamizi wa deni kutokana kupata mikopo ya muda mrefu na nafuu( concessional loans).
Anaendelea kusisitiza, Tukope kujenga uchumi,Ulaya ilikopa kujenga uchumi baada ya vita ya dunia kwa kusaidiwa na USA( Mashal Plan, ) Bajeti ya Japan ya mwaka 2021, nchi ya 3 kwa ukubwa wa uchumi dunaini, asilimia 40% ni mikopo.
Anasema, "Naam, tukope zaidi kujenga zaidi hasa mikopo ya muda mrefu ambayo uwekezaji miradi hii itaongeza msuli wa uchumi wetu kulipa deni.
Mwaka 2021/22 ndio mwaka deni limeongeka kwa trilioni10(BoT- MER) lakn ndio mwaka uchumi uliongezeka kwa zaidi ya dola bilioni 5.4 kufikia $67.7bn kutoka $62.3bn ambazo ni sawa na nyongeza ya uchumi kwa miaka miwili( 2019/20 na 2020/21),Ndio maana ya kukopa kujenga uchumi.
Marry X-mass & Happy New year
Njaa inaingia wapi hapo katika kueleza uhalisia kwa Jamii iliyopotoka na isiyo na ufahamu.Njaa ni mbaya Sana. Halafu Wana siasa wanasema mkajiajiri.
Kafulila bwana ππ sijui ni Kiazi wa wapi huyu.Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe David Zacharia Kafulila kupitia ukurasa wake wa Instagram amewafunda wanaolalamika Kuhusu ukuaji wa deni la Taifa huku akisisitiza tukope zaidi ili tujenge uchumi wetu kwani hata Japan ambayo ni nchi ya tatu Duniani kwa Utajiri bajeti yake 40% ni mikopo tuache maneno maneno Tanzania tuko vizuri,
===
Kafulila anasema, Ripoti ya UNDP Nov2022, imetaja nchi54 zenye hali mbaya ya deni la Taifa Dunian, huku 25 zikitoka Afrika wala Tanzania sio miongoni mwao,
Kafulila anaendelea kwa kusema " Ripoti za Taasisi ya MOODY'S, ambayo ni moja ya taasisi 3 kubwa duniani kwa kupima afya ya uchumi kumudu kulipa deni ( MOODY'S, S&P na Fitch zinamiliki 95% ya biashara hii duniani), Agust 2021 na Oktoba 2022 imeonesha Tanzania bado inafanya vema usimamizi wa deni kutokana kupata mikopo ya muda mrefu na nafuu( concessional loans).
Anaendelea kusisitiza, Tukope kujenga uchumi,Ulaya ilikopa kujenga uchumi baada ya vita ya dunia kwa kusaidiwa na USA( Mashal Plan, ) Bajeti ya Japan ya mwaka 2021, nchi ya 3 kwa ukubwa wa uchumi dunaini, asilimia 40% ni mikopo.
Anasema, "Naam, tukope zaidi kujenga zaidi hasa mikopo ya muda mrefu ambayo uwekezaji miradi hii itaongeza msuli wa uchumi wetu kulipa deni.
Mwaka 2021/22 ndio mwaka deni limeongeka kwa trilioni10(BoT- MER) lakn ndio mwaka uchumi uliongezeka kwa zaidi ya dola bilioni 5.4 kufikia $67.7bn kutoka $62.3bn ambazo ni sawa na nyongeza ya uchumi kwa miaka miwili( 2019/20 na 2020/21),Ndio maana ya kukopa kujenga uchumi.
Marry X-mass & Happy New year
Anamainisha tukope ili na sisi tuelemewe na madeni au tujitahidi kujitegemeaAliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe David Zacharia Kafulila kupitia ukurasa wake wa Instagram amewafunda wanaolalamika Kuhusu ukuaji wa deni la Taifa huku akisisitiza tukope zaidi ili tujenge uchumi wetu kwani hata Japan ambayo ni nchi ya tatu Duniani kwa Utajiri bajeti yake 40% ni mikopo tuache maneno maneno Tanzania tuko vizuri,
===
Kafulila anasema, Ripoti ya UNDP Nov2022, imetaja nchi54 zenye hali mbaya ya deni la Taifa Dunian, huku 25 zikitoka Afrika wala Tanzania sio miongoni mwao,
Kafulila anaendelea kwa kusema " Ripoti za Taasisi ya MOODY'S, ambayo ni moja ya taasisi 3 kubwa duniani kwa kupima afya ya uchumi kumudu kulipa deni ( MOODY'S, S&P na Fitch zinamiliki 95% ya biashara hii duniani), Agust 2021 na Oktoba 2022 imeonesha Tanzania bado inafanya vema usimamizi wa deni kutokana kupata mikopo ya muda mrefu na nafuu( concessional loans).
Anaendelea kusisitiza, Tukope kujenga uchumi,Ulaya ilikopa kujenga uchumi baada ya vita ya dunia kwa kusaidiwa na USA( Mashal Plan, ) Bajeti ya Japan ya mwaka 2021, nchi ya 3 kwa ukubwa wa uchumi dunaini, asilimia 40% ni mikopo.
Anasema, "Naam, tukope zaidi kujenga zaidi hasa mikopo ya muda mrefu ambayo uwekezaji miradi hii itaongeza msuli wa uchumi wetu kulipa deni.
Mwaka 2021/22 ndio mwaka deni limeongeka kwa trilioni10(BoT- MER) lakn ndio mwaka uchumi uliongezeka kwa zaidi ya dola bilioni 5.4 kufikia $67.7bn kutoka $62.3bn ambazo ni sawa na nyongeza ya uchumi kwa miaka miwili( 2019/20 na 2020/21),Ndio maana ya kukopa kujenga uchumi.
Marry X-mass & Happy New year
Naunga mkono hoja,tupoke kwa ajili ya kujenga Uchumi.Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe David Zacharia Kafulila kupitia ukurasa wake wa Instagram amewafunda wanaolalamika Kuhusu ukuaji wa deni la Taifa huku akisisitiza tukope zaidi ili tujenge uchumi wetu kwani hata Japan ambayo ni nchi ya tatu Duniani kwa Utajiri bajeti yake 40% ni mikopo tuache maneno maneno Tanzania tuko vizuri,
===
Kafulila anasema, Ripoti ya UNDP Nov2022, imetaja nchi54 zenye hali mbaya ya deni la Taifa Dunian, huku 25 zikitoka Afrika wala Tanzania sio miongoni mwao,
Kafulila anaendelea kwa kusema " Ripoti za Taasisi ya MOODY'S, ambayo ni moja ya taasisi 3 kubwa duniani kwa kupima afya ya uchumi kumudu kulipa deni ( MOODY'S, S&P na Fitch zinamiliki 95% ya biashara hii duniani), Agust 2021 na Oktoba 2022 imeonesha Tanzania bado inafanya vema usimamizi wa deni kutokana kupata mikopo ya muda mrefu na nafuu( concessional loans).
Anaendelea kusisitiza, Tukope kujenga uchumi,Ulaya ilikopa kujenga uchumi baada ya vita ya dunia kwa kusaidiwa na USA( Mashal Plan, ) Bajeti ya Japan ya mwaka 2021, nchi ya 3 kwa ukubwa wa uchumi dunaini, asilimia 40% ni mikopo.
Anasema, "Naam, tukope zaidi kujenga zaidi hasa mikopo ya muda mrefu ambayo uwekezaji miradi hii itaongeza msuli wa uchumi wetu kulipa deni.
Mwaka 2021/22 ndio mwaka deni limeongeka kwa trilioni10(BoT- MER) lakn ndio mwaka uchumi uliongezeka kwa zaidi ya dola bilioni 5.4 kufikia $67.7bn kutoka $62.3bn ambazo ni sawa na nyongeza ya uchumi kwa miaka miwili( 2019/20 na 2020/21),Ndio maana ya kukopa kujenga uchumi.
Marry X-mass & Happy New year
Jikite kwenye hoja sio hisia za chuki binafsi.Huyu atakuwa anaumwa ugonjwa wa akili ama anajitoa ufahamu kwa sababu anazozijua mwenyewe. Kudaiwa ni utumwa sio sifa
Una uhakika?Naomba mniambie hivi zikikopwa zinaenda wapi mbona hatuoni outcom yake
Sio msingi wa hoja yakeKafulila haurudishwi hata ulete uchawa.
Ipigwe na Nani? Inataka πππAnaleta ngonjera wakati nchi inataka kupigwa mnada.
Ndio , huwezi kuwa tajiri bila kukopaUtajiri wa kukopa kopa au sio?
Wewe unaonaje mkuuTunakopa hizo hela tunafanyia nini? Je ni kweli rasilimali zetu hazitutoshelezi mpaka tukope nje?
Kama italeta tija ndio inatakiwa kufika hapoKwahiyo mpango ndio kuifanya nchi kufikia hapo ama namna gani?
Mara nyingi na kwa uzoefu wangu Pesa nyingi zinazopotea Ni Pesa za makusanyo ya ndani..Kukopa sio tatizo kama udhibiti wa hizo pesa upo 100% kwamba pesa zote zitaingia kwenye miradi iliyo kusudiwa ! Lakini shida inakuja pale tunaposikia huku mara kule pesa zimepigwa!! Mara mradi umejengwa chini ya kiwango and so on and so forth hapo ndio shida ilipo!! Maana hata kwa mtu binafsi kama unajijua kwamba huna nidhamu katika matumizi ya pesa ni bora usiende kukopa Benki maana unaweza ukasababisha Nyumba uliyoiweka dhamana ikashikwa na Benki !! Je nidhamu ya matumizi ya pesa tunayo ??!!
Kwani uliambiwa hiyo til.21 inakuja kugawiwa Mtaani?Kafulila umekosea sana. Hii ni sawa na kusema "kwakua nimekua natembea na wanawake/me wengi bila kondom na leo nimepima sina HIV basi niendelee kuwa na wapenzi wengi"
Sio sifa kuingia kwenye kundi lililoelemewa madeni, wala sio sifa kukopa sana. Tujenge uchumi unaojitegemea, unaokopa kidogo zaidi, na unaleta manufaa kwa wananchi wake. Lakini pia Value for Money.
Tumekopa over 21trillion kwa kipindi kifupi lakinj mtaani hali ngumu zaidi kuliko.
Kuna kibonzo cha masoud kipanya cha hela zilizoliwa na panya kinatuambia Mengi.
PIa mgogoro wa CCM na Kanisa Katoliki Kigoma nao unatuambia mengi pia