Kafulila: Wawekezaji si wageni tu tumeni maombi yenu PPP-Centre kama unautaka mradi wowote wenye sura ya kibiashara popote kituo Cha Ubia kitawasaidia

Kafulila: Wawekezaji si wageni tu tumeni maombi yenu PPP-Centre kama unautaka mradi wowote wenye sura ya kibiashara popote kituo Cha Ubia kitawasaidia

Dogo anaongea siasa, je Kuna political will kuwabeba wazawa?

Kuna wazawa Wana viwanda vimekufa kisa wanasiada wana ubia na wafanyabiashara waofanya importation
 
Dogo kama anaweza aishauri serekali ishushe bei ya umeme hadi TSh 50 kwa 1kwh na petrol luzwe TSh 2000 kwa litre
Alafu ndo awashawishi wazawa kuwekeza
 
Back
Top Bottom