Dah!!! Maty sasa hapo shughuli iliyopo ni kati ya ndugu wa marehemu na wa huyu mwanamke halafu vile vile najaribu kufikiria upande wa yule jamaa ambaye wameshiriki naye sidhani kama naye atasalimika.Washazika, mwanamke yuko polisi ishakua kesi ya mauaji
Ila mambo mengine Maty inabidi tuwe makini hiki kisa kinasikitisha sana nafikiri sasa hivi mwanamke ndio atakuwa anaanza kujilaumu na akili zinaanza kumkaa vizuriWashazika, mwanamke yuko polisi ishakua kesi ya mauaji
Dah!!! Maty sasa hapo shughuli iliyopo ni kati ya ndugu wa marehemu na wa huyu mwanamke halafu vile vile najaribu kufikiria upande wa yule jamaa ambaye wameshiriki naye sidhani kama naye atasalimika.
Ila mambo mengine Maty inabidi tuwe makini hiki kisa kinasikitisha sana nafikiri sasa hivi mwanamke ndio atakuwa anaanza kujilaumu na akili zinaanza kumkaa vizuri
Mkuu ameishakufa na kuzika wameishazikaInaumiza sana. Mume kapigwa hadi kupumulia mashine, je akifa mkewe atajisikiaje wakati akimtembelea huyo waliyechangia kumpiga mumewe akiwa na mkewe. I think there are something hidden in between,
Dah!! Mimi nachoka kabisa aisee halafu kesi za namna hii huwa zinachukua miaka nenda rudi huyu mwanamke anaweza kuhukumiwa hata baada ya miaka 7, halafu hapa tayari familia zimeishakuwa maadui tena kwa kweli hili ni funzo kwetu sote maana huwa wanasema kuna leo na kesho leo kwangu kesho kwako yote haya yasingetokea kama wote wasingejihusisha kwenye infidelity lakini huwa tunakuja kujutia baada ya matatizo kuwa yameishatokea.Yaani we acha tu ndugu wamekuja juu kuliko maelezo, halafu unajua mwanzoni walificha kama kapigwa walikua wanaona aibu cause sababu ya kupigwa ni kufumaniwa.
Alipokufa kukawa na mgongano kidogo wengine wanasema aachwe ili alee watoto, wengine wanasema haiwezekani na kwa nini walificha. Ikabidi suala lipelekwe polisi na wakati huo watu walikuwa washajiandaa waage maiti iende kuzikwa. Ikabidi zoezi la kuaga maiti lisitishwe polisi wakaja kufanya uchunguzi, baada ya uchunguzi kukamilika ikabidi mwanamke apelekwe polisi na uko akawataje na alioshirikiana nao.
Akaacha watu wanaanza kuaga ili kusafirisha maiti, so huyo mama kutoka huko ndani asahau kabisa. Nadhani litakuwa funzo kubwa sana kwa wote wenye tabia hizo.
Halafu huyu mama hata kumzika mumewe hajamzikaYaani we acha tu ndugu wamekuja juu kuliko maelezo, halafu unajua mwanzoni walificha kama kapigwa walikua wanaona aibu cause sababu ya kupigwa ni kufumaniwa.
Alipokufa kukawa na mgongano kidogo wengine wanasema aachwe ili alee watoto, wengine wanasema haiwezekani na kwa nini walificha. Ikabidi suala lipelekwe polisi na wakati huo watu walikuwa washajiandaa waage maiti iende kuzikwa. Ikabidi zoezi la kuaga maiti lisitishwe polisi wakaja kufanya uchunguzi, baada ya uchunguzi kukamilika ikabidi mwanamke apelekwe polisi na uko akawataje na alioshirikiana nao.
Akaacha watu wanaanza kuaga ili kusafirisha maiti, so huyo mama kutoka huko ndani asahau kabisa. Nadhani litakuwa funzo kubwa sana kwa wote wenye tabia hizo.
Halafu mwanamke hata hakumzika mumeweHii ni hatari kwa kweli...
mbona wazinzi wawili lakini anaadhibiwa mmoja ?Habari zenu wana Jf,
nimepata kisa cha kusikitisha muda si mrefu na nimeamua nikiweke hapa jamvini kinaweza kutusaidia katika kufanya maamuzi yakikukuta.
Kuna mkaka namfahamu yeye ni mume wa mtu na amefumaniwa na mke wa mtu. Inasemekana mume wa huyo mdada mwizi na mke wa mkaka mwizi walishagundua na kukaa pamoja kuelezana kwamba wenza wetu wanafanya uzinzi. Wakakubaliana kuwafumania na kweli siku ya siku fumanizi likafanikiwa walichofanya ni kumpiga yule mwanaume sana hasa hasa kichwani mpaka damu imevilia kichwani na habari nilizopata hivi punde ni kuwa huyo kaka anapumulia oxygen machine once ikitolewa roho na mwili vinaachana.
Tupeane mawazo ikitokea ukamfumania mkeo/mumeo uamuzi mzuri ni upi? au walichfanya hawa mke na mume waibiwa kumpiga huyu baba mpaka kuwa hivi ni sawa?
DU MATTY IMENIUMA SANA, MM KAMA UNANIFUMANIA NABONDA HICHO KIDUME NA WEWE NATANGULIZA NYUMBANI, HALAFU MKE WA JAMAA KILA SIKU NTAKUONYESHA LIVEWashazika, mwanamke yuko polisi ishakua kesi ya mauaji