GY mie nimeomba kujulishwa sheria (sijui ndo mwaita domestic sijui marital law sijui mimi) inasemaje juu ya kumfumania mtu? adhabu ya mfumaniwa ni nini? Si ajabu inasema ni suala la kurudishwa kwa wanandoa waamue wenyewe!! So watu hawaoni umuhimu wa kumpeleka mgoni mahakamani kwani hakuna sheria au userious....yaani tumeshafanya ni sheria mkononi kama tunadeal na vibaka.
Kwa hili la kufumania kwa hivi GY nadhani hawa wameua kwa kudhamiria ....si walipanga fumanizi? Na siajabu walipokuwa njiani kuelekea kufumania walikuwa wananuia...leo atanitambua, nitampiga, nitamtoa meno, nikavuta naniliu ..........mradi tu alinuia. So alikusudia.................