Kafumaniwa

Kafumaniwa

Ankal maisha yako yote kweli haujawahi kufumania
ankal mimi hata nikifumania theory yangu inasema " mwenza ni sigara tu, ikigeuka jivu unachoma nyengine". infakti nikifumania leo kesho nalembea sredi JF la kutafuta mchumba, hakuna kulia wala mjombaake kulia.
 
Nakwambia we acha tu...ivi sheria inasemaje ukimuua mgoni wako,nakumbuka kama inakuwa umeua bila kukusudia au sio?

GY mie nimeomba kujulishwa sheria (sijui ndo mwaita domestic sijui marital law sijui mimi) inasemaje juu ya kumfumania mtu? adhabu ya mfumaniwa ni nini? Si ajabu inasema ni suala la kurudishwa kwa wanandoa waamue wenyewe!! So watu hawaoni umuhimu wa kumpeleka mgoni mahakamani kwani hakuna sheria au userious....yaani tumeshafanya ni sheria mkononi kama tunadeal na vibaka.

Kwa hili la kufumania kwa hivi GY nadhani hawa wameua kwa kudhamiria ....si walipanga fumanizi? Na siajabu walipokuwa njiani kuelekea kufumania walikuwa wananuia...leo atanitambua, nitampiga, nitamtoa meno, nikavuta naniliu ..........mradi tu alinuia. So alikusudia.................
 
ankal mimi hata nikifumania theory yangu inasema " mwenza ni sigara tu, ikigeuka jivu unachoma nyengine". infakti nikifumania leo kesho nalembea sredi JF la kutafuta mchumba, hakuna kulia wala mjombaake kulia.
Huyu jamaa akienda Keko atakutana na wababe haswa na lazima atachezea kitu cha black swan
 
kuua ni kuua tu... tofauti zitakua kwenye vifungo.. ut remember hata jamii itawatenga, miaka kadhaa utaloa jela na maisha yatakua ruined tu
 
ankal mimi hata nikifumania theory yangu inasema " mwenza ni sigara tu, ikigeuka jivu unachoma nyengine". infakti nikifumania leo kesho nalembea sredi JF la kutafuta mchumba, hakuna kulia wala mjombaake kulia.

i like this should be kwa wanaume wote.
Mkaka ukimfumania mkeo hutakiwi kubembeleza manake ni dharau ya kuvuka kikomo

(Mume kutoka nje haumizi kama mke akitoka :sorry to all jf)
 
Yaani nyinyi acheni tu huyo kaka amefariki dunia muda si mrefu

hii post inapatikana page nambari 3. hapo red dah! pole mama wa kwanza, na aspirin wenyewe keshalog out.

Nalia kwa uzuni mie kumbe ndo hivo tena nambie page namba ngapi..Maty Nielekeze huyo mwanamke mwenzangu aliyepanga mashambulizi nikamtafune mie ,Klo wajua leo nimetaitika vibaya sana hapa nilipo nackia kizunguzungu :help:
 
Huyu jamaa akienda Keko atakutana na wababe haswa na lazima atachezea kitu cha black swan
Mh si nasikia ukiingia selo waulizwa kilichokufanya ukapelekwa kule? Na ukisema ulipiga mtu ukaua si wanakuheshimu kwa uwoga??
 
Wakijua umeua kwa sababu ya PESA wanaweza wakawa na wewe bega kwa bega ila ndio wakisikia sababu ya mwanamke utachezea koki sana
 
Huyu jamaa akienda Keko atakutana na wababe haswa na lazima atachezea kitu cha black swan

acha aende tu, naskia keko kuna section wanaita male maternity, huko mpaka mwanaume anapewa ujauzito. Life is so simple lakini sjui kwanini tunaicomplicate.
 
Ooops...very sad story....mbona hapa inaonekana aliadhibiwa tuu mwizi wa kiume? mwanamke yeye amesamehewa? sasa hapa kuna mawili..maamuzi na makubaliano ya hao walipanga kufumania hayakulenga pande zote katika kutoa adhabu...mama mwenye mume aliridhia adabu kali kwa mumewe wakati mume kwenye mke hakufikia uamuzi wa adhabu kali..sasa mke atakosa mume wakati aliepanga kufumania nae atabaki na mke wake..akili kumkichwa wanawake ni wepesi kudanganyika..alifikiri kumpatia mumewe kipigo kikali na kumkomesha..wangemalizana kisomi! wapeane talaka then kila mmoja achukue ustaarabu mwingine bila kusababishiana ngeu au vilema vya maisha au hata kukatisha uhai. Pole sana kwa wote..waume kwa wake..majuto mjukuu..sasa wanajisemea kimoyo moyo laiti tungelijua au laiti tungetumia njia ingine ya kutoa adhabu. sheria zipo zingetumika tuu vizuri..wangeitwa washenga kama ni watu wenye ndoa..wajumbe wa serikali hata viongozi wa dini...washuhudie sakata ili kuifanya kazi ya kupeana talaka kwa ambaye angeamua iwe rahisi
 
Hivi neno "kufumaniwa" maana yake nini? Inawezekana ndiyo kwa Kiingereza wanasema "caught red-handed"?

Kwa jamii ya kawaida hii scenario ya Maty haiwezi kuwa "Fumanizi" ni kama "planned homicide": Mr X anafanya ngono na Mrs Y - Mrs X na Mr Y wanapata hizo habari - Halafu Mrs X na Mr Y wanapanga "kufumania"!!! Wanao-fumania Mr X anapigwa mpaka Mauti yanamkuta - Habari haisemi Mrs Y ametoweka vipi au amehusika vipi au hatima yake nini - Strange!!

Anywayz - hata vitabu vitakatifu vinachelea kutoa "maana ya fumanizi"...
This is outright murder,premeditated killing,adhabu yake ni kitanzi tu basi.
 
Ooops...very sad story....mbona hapa inaonekana aliadhibiwa tuu mwizi wa kiume? mwanamke yeye amesamehewa? sasa hapa kuna mawili..maamuzi na makubaliano ya hao walipanga kufumania hayakulenga pande zote katika kutoa adhabu...mama mwenye mume aliridhia adabu kali kwa mumewe wakati mume kwenye mke hakufikia uamuzi wa adhabu kali..sasa mke atakosa mume wakati aliepanga kufumania nae atabaki na mke wake..akili kumkichwa wanawake ni wepesi kudanganyika..alifikiri kumpatia mumewe kipigo kikali na kumkomesha..wangemalizana kisomi! wapeane talaka then kila mmoja achukue ustaarabu mwingine bila kusababishiana ngeu au vilema vya maisha au hata kukatisha uhai. Pole sana kwa wote..waume kwa wake..majuto mjukuu..sasa wanajisemea kimoyo moyo laiti tungelijua au laiti tungetumia njia ingine ya kutoa adhabu. sheria zipo zingetumika tuu vizuri..wangeitwa washenga kama ni watu wenye ndoa..wajumbe wa serikali hata viongozi wa dini...washuhudie sakata ili kuifanya kazi ya kupeana talaka kwa ambaye angeamua iwe rahisi
ubarikiwe.
 
Back
Top Bottom