Chauro
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 2,968
- 1,478
Kloro hujasikia machozi kusema ukweli machozi yamenilenga usoni .. ama kweli dunia tambara bovu!
ndio maana nimeamua kuyachukulia maisha kama joke flani hivi. sasa hapa ukiangalia utaona
-roho imepotea
-fumanizi haliwezi kufutika katika historia.
-mdada kashiriki kuuwa mume na sasa ataolewa na aibu, mahari ni jeuri yake. nyambaaf!
-huyo mkaka aliejifanya kidume kumdunda marehemu wajanja wa keko wanamsubiri. shenzz! ccm! kalkit! pambaf mweusi!
-Maty ameanzisha sredi
-LD kakasirika
-chauro kapoteza apetaiti
- list goes on.......................