nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,379
Huwezi jua kama walipanga kwenda kuua. Inawezekana mauaji yametokea kutokana na ugumu wa mazingira aka Hasira.
Heart broken hadi mnaamua kupanga fumanizi na kuua you must be kiddin me