Kafumaniwa

Atapata akili pindi huyo mumewe atakapoaga dunia, atajua maisha nini, na kubwa ni kwamba wote wanne ni wazinzi tu.
 
yeah right, vipi kuhusu watoto kama wapo? wateseke bila wazazi sio?

Ndugu tupo tutabeba zigo lakini hapo mmoja mzazi atabaki uraiani

Hawa wawili lazima wakaonje makali ya jela.
 
Hili fumanizi kali kweli
 
Nafikiri hawa wote wanne walikuwa wanacheza Sandakalawe
 
kisheria waliopiga ndiyo wenye makosa na huyo mwanamke ni mjinga alikubalije na kushiri mumewe apigwe kiasi cha kuuawa ilihali mwanamke mwenzake hakupigwa hivyo? unless hata yeye ni mzinzi na aliona hiyo ndo loophole ya kuachana na mumewe. Hao wawili wanapaswa kushtakiwa kwa sababu hakuna sheria ya kumtia mtu hatiani kwa sababu ya fumanizi zaidi ni kutalikiana tu.
 
ndo hapo LD huyu dada sijui alikuwa anafikiria nini,anashangilia tu mpenziwe anavopigwa halafu jamaa kamuacha wake kwenye mabano akifa ndo atakapoona alama zote za maisha zikimuangalia.


 
Namwombea huyo kaka afariki dunia ili sheria ichukue mkondo wake kwa hao walio mshushia kipigo
kitanzi kinawasubiri hao,nilazma wanyongwe mpk wafe kama jamaa atakufa,kama akipona watahukumiwa sichini yamiaka 30jela watakoma naujingawao.
 

Si sawa. Na kwanini wasiwapige wote? Maty wewe huoni kama huo ni uonevu? Mi kuna mke wa mtu ananisumbua zaidi ya mwaka ila nikija kumuamulia naomba yasije kunikuta...
 
Walikulana kisha wakaenda kuwafumania
i think this is what happened, unajua sometimes haya mambo ya fumanizi yanachekesha kweli, sasa unpanga kufumania, maana tayari ushajua chezo... then unapiga mtu... then unafungwa jela etc

its bullshit

Ukionfirm kwamba watu wana mpango wa kando then there are two options, kuomba waache au kuachana na wako... ukiamua kubaki nae pia you ahve two things... kuhakikisha wanaachana, au kufanya maamuzi magumu

poor guys is fighting for his life sasa na siajabu hata bao hakupiga on the day
 
Huu ni uonevu wa hali ya juu wafumaniwe wawili apigwe mmoja??? sijakubaliana na hili aisee
 
i think this is what happened, unajua sometimes haya mambo ya fumanizi yanachekesha kweli, sasa unpanga kufumania, maana tayari ushajua chezo... then unapiga mtu... then unafungwa jela etc

Hata mie nashangaa sana, hata sielewi what is the essence.
 
Nafikiri hawa wote wanne walikuwa wanacheza Sandakalawe

Yani, hapo ni Sandakawale kweli kweli.
Kwanza ilikuwa kuwa je hadi hawa /huyu mwanaume na mwanamke wa hawa Mpango wa kando wawili wakajuana?
Inaonekana hawajui sheria za wizi wa ndoa hawa, wakati mwinine usiibe kama huna akili ya kuiba, utachekwa.
 
Hao waliofumania kama na wao hawajamegana basi watakuwa was...ng..!

Dawa ya moto ni moto mkali zaidi.
 
Hapo kwenye red si ajabu hata kuanza walikuwa bado hajaanza game lenyewe
 

Yaani wapendwa hizo taarifa nilizipata juu juu kwa sababu huyo mkaka namfahamu kwamba amelazwa kapigwa baada ya kufumaniwa na fumanizi lilipangwa na mkewe pamoja na mume anaeibiwa mali zake. Baada ya kuona maswali yenu ndio sasa imebidi nimuulize kuhusu mwanamke mwizi. Ndio amenijibu hiyo stori amepewa juu juu na huyo kaka sasa hvi tumepewa taarifa kwamba amekufa sasa nimeshindwa hata kumdadisi sana kwani ndio kwanza ameletewa taarifa ya msiba nadhani akitulia ndio atanihadithia zaidi.

Jamani hii habari inasikitisha sasa sijui huyo dada atalia kuhusu msiba wa mumewe au atacheka hata sipati picha.
 
:rip::rip:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…