nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,379
Hawa nao waliendaje bila utaalamu! Yaaani cku izi unaenda na silaha zote! Unanunuaaaaaaaa ama basi ntawafundisha siri ningine halafu mwendelee kuwa wazinifu!
Hapo sasa na ndio maana hii ilipotokea ilikua inafichwa fichwa mi alieniambia aliambiwa na dada wa marehemu na ni baada ya mkaka kulazwa na kuwa na hali mbaya ina maana angepigwa kidogo tu na kupona hii stori ingefichwa hata tusingesikia kabisa
Mleta thread amesema jamaa tayari ameisha:rip::rip: muda si mrefuHao wapuuzi waombe Mungu jamaa asife,akifa mazee hiyo ni mada na wala sio manslaughter kwa sababu wahusika walikaa wakapanga (malice aforethought),adhabu yake ni kitanzi kwa wote wawili,mke wa mtu na mme wa mtu.Hivi siku hizi kuna K na M za kugombea kweli?
Heart broken hadi mnaamua kupanga fumanizi na kuua you must be kiddin meWangekuwa nao wana affair wala wasingjisumbua kufumania. They have been heart broken
ilitakiwa waadhibiwe wote y mwanaume tuuuu! namuonea huruma huyo mmama aliyepanga na mume wa mwenzie wafanye fumanizi then kaadhibiwa mumewe tu.... imekula kwake ujue! kwan yupo mbioni kuitwa mjane kwa kujitakia kwan kila ki2 kilikua kwenye mpango ambao na yeye alishiriki! duh! kasheshe kama wana offsprings kazi kwake kuwalea...
When you are done wit you wife or husband, divorce him or her. Si unachovya chovya. Hii iwe funzo kwa wengine. Respect your marriages. Hata mimi naua walahi nikimjua mwizi wangu though I may not kill my husband but the other woman.
Huwa hawaamini hadi siku yawakute ndio utasikia wanasema huyu shetani huyuYawezekana waliadhibiwa wote ila si unajua mambo ya fumanizi labda mwende na waandishi wa habari ndio itasikika kwa sana. Hata kwa huyu mkaka na sisi tumesikia kwa sababu tu alipata majeraha makubwa na matokeo yake kumsababishia kifo ila naamini angefumaniwa na kupigwa kisha kutopata madhara yoyote hata sisi tusingesikia yangeisha kimya kimya.
Ushauri:
Msipende kuchukulia vitu kiutani utani jamani hii habari ni ya kweli kabisa kama kuna mtu anatembea na mke wa mtu yaweza kukuta yaliyomkuta mwenzio na ukaacha watoto wanateseka
LD hivi huwa haujui tu kuwa mwizi akiwa anaiba anaona swafii ila siku yeye akiibiwa anakuwa kama vile katiwa makaa ya maweMi mwizi njoo niue!!!
Wakati unakuja uhakikishe hujawahi kuiba mume wa mtu tangia umemapata akili ya kujua mema na mabaya.
Na huajawa ku mcheat mumewe uliye naye sasa.
Sawa?
Kwenye hii ishu kuna UNTOLD STORIES nyingi tuTutafanya analysis nyingi tu kwa mitazamo tofauti. Ila ukweli wa fumanizi anaujua muhusika. Ukiwa pembeni ni rahisi kusema kwa nini na wao hawakufanya mapenzi mbele yao? Kwa nini hawakufikiria watoto? Kwa nini amepigwa mwanaume tu? Watakuwa walipanga si manslughter. Inawezekana walipanga kufanya mapenzi mbele yao walipofika eneo la tukio akili ikawehuka? Majibu shahihi ni magumu hata kwa wahusika wenyewe. Yaani mtu unageuka shetani kwa muda unapomfumani mtu uliyemkabidhi roho yako. Acheni tu. Mimi nawaombea kwa Mungu wakati huu mgumu walionao wahusika wote.
Namuonea huruma mwanamke anayejitengenezea ujane kwa mikono yake mwenyewe. Biblia inasema 'mwanamke mpumbavu huibomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe' Ngoja nyumba ibomoke(mume afe) akose mahali pa kukaa, wengine wajifunze kutoka kwa makosa yake, wajiwekee sawa namna ya kuwarekebisha wapenzi wao wanapokosea.
Maty, halafu sijaelewa hawa wawili walipanga baada ya kuua watafunga ndoa au?!!!!!!!!!!!!!!!!!!!mambo mengine bwana mi bado na swali silielewi kwanini jamaa aliacha mkewe bila kumshughulikia na huyu dada hakushtukia hilo au aliamua kufunga macho.