Kafungwa Azam, wanaumia Simba

Kafungwa Azam, wanaumia Simba

Binafsi pamoja na kwamba mpira una MATOKEO MATATU .

Changamoto kubwa ya AZAM NI KUMKOSA JEMEDARI SAID KAZUMARI MTIPA KAMA MANAGER WA TIMU.

AZAM ATAENDELEA KUPOTEZA MNO.
Msimpe Azam kabisa kwa yanga.
 
Kwakeli nashindwa kuelewa hawa Makolo nini kinawasumbua kwani alifeungwa ni Azam halafu wao ndio wanaumia. Tuwasaidiaje?

Ndio tumeanza hivyo, nyie endeleeni kumuwaza Mayele utadhani kao kwenu!!

Shauri yenu na majungu yenu.

Mtani alikuwa anajua na sisi tunamuogopa Dube
 
Binafsi pamoja na kwamba mpira una MATOKEO MATATU .

Changamoto kubwa ya AZAM NI KUMKOSA JEMEDARI SAID KAZUMARI MTIPA KAMA MANAGER WA TIMU.

AZAM ATAENDELEA KUPOTEZA MNO.
Msimpe Azam kabisa kwa yanga.
Jamaa aligua mganga au ndio huo umeneja?
 
Back
Top Bottom