Kagame aitaka SADC ikae mbali na DRC

Najuwa, na usikute anayepinga ni mwanajeshi wa jeshi la Rwanda kakasirika siri yao kugundulika. Hakuna mtu asiyejuwa hili, Rwanda ipo pale Congo kuiba rasilimali na kujenga nchi yao na ndiyo maana wana destabilize Eastern RDC.
Clearly clueless about what is happening in Congo, pole
 
kamsikilize kikwete kaelezea vzr sana, Rwanda wanefanikiwa kueneza Propaganda since wanatumia lugha zote tunazotumia sisi ila wengi tumeshindwa pata ukwel kutoka DRC , walifikia makubaliano ila hao hao waasi ndo waliyakataa makubaliano hayo kisha wakaingia msituni wanajeshi kama 600 hv kisha baadae ikaonekana wakuja wakiwa na nguv zaid , je nguv hii waliitoa wap kama hakuba mkono wa jirani?
Kagame is right, hata SADC chairman amesema same thing kama mnajua kusoma, ukweli ni Congo government inapigana na wananchi wake, EAC hawawezi kuingia huko labda Tanzania wasiojielewa lakini Kenya au Uganda forget about it
 
Mujamaa anaongela kidume sana
ati anongea kama nani?
nawaambia, tuwakatae wote wale wanaodogosha viongozi wetu.
 

View: https://www.instagram.com/reel/DFvbBtHJuXG/?igsh=MW9zMmtsNnMycngxOA==
 
Ndugu naomba ututajie ni wapi (mkoa gani) Rwanda wana machimbo ya cobalt. Jibu ni kwamba hakuna ila mnauza kwa wingi tu, mnatoa wapi hiyo cobalt kama si Eastern Congo?
Tabu tupu idiots like you ndio maana vita haviishi
 
Who's an idiot here kama si wewe na Kagame, mnaiba cobalt Eastern Congo na kudanganya kuwa mna machimbo ya cobalt kwenu wakati hamna. Tutajie ni mkoa gani huko Rwanda kuna machimbo ya cobalt?
Keep lying to yourself, tribalism and ignorance vinawamaliza wewe na ndugu zako, acheni
 
13 February 2025
Kigali, Rwanda

Kikundi kazi cha Wataalam wa Ulinzi wa EAC kinakutana mjini Kigali


View: https://m.youtube.com/watch?v=iJ2KxD-8Dr0Wataalamu wa Ulinzi wa EAC wanakutana mjini Kigali ili kutengeneza ramani ya barabara ya kuanzisha hazina mtandaoni (online repository). Wale waliosusa kutoka Burundi na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo watapelekewa maazimio tunayokubaliana Kigali 13 February 2025.

Kikundi kazi cha Wataalam wa Ulinzi wa EAC kinakutana mjini Kigali ili kuandaa ramani ya kuanzisha hifadhi ya mtandaoni ya hati zote zinazotumiwa katika mikutano na mazoezi.

Mkutano huu wa Kigali February 2025 ufuatia ule wa Jinja Uganda 2022:


ZOEZI LA MAFUNZO UWANJANI WA EAC "USHIRIKIANO IMARA" KUANZA NCHINI UGANDA


Jinja, 3 Juni 2022
Vikosi vya Wanajeshi wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, polisi na maafisa wa kiraia kutoka nchi 6 ambazo ni Rwanda, Burundi, Kenya, Sudan Kusini, Tanzania na Uganda leo wameanza Mazoezi ya 12 ya Majeshi ya Jumuiya ya Afrika Mashariki yaliyopewa jina la "Ushirikiano Imara" 2022 katika Kituo cha Uwezo wa Usambazaji Haraka cha Uganda, Jinja, Uganda.
Zoezi hilo la muda wa wiki mbili litatekelezwa chini ya kaulimbiu, "Kukuza Amani, Usalama na Utulivu kuelekea Mtangamano wa Jumuiya ya Afrika Mashariki."
Wakati akifungua zoezi hilo, Naibu Waziri Mkuu wa tatu wa Uganda, RH Rukia Nakadama alisema kuwa zoezi hilo linazipa nchi washirika wa EAC fursa ya kuimarisha ushirikiano kati ya majeshi pamoja na kuunganisha ajenda ya mtangamano wa Afrika Mashariki.
Katibu Mtendaji wa Baraza la Vyuo Vikuu vya Afrika Mashariki Prof Gaspard Banyankimbona ambaye alizungumza kwa niaba ya Katibu Mkuu wa EAC alisema kuwa zoezi hilo limeundwa kwa ajili ya kuwafanyia mazoezi washiriki katika kupanga na kuendesha operesheni shirikishi za usaidizi wa amani, kukabiliana na ugaidi, operesheni za kukabiliana na uharamia na udhibiti wa maafa kwa madhumuni ya kuongeza uwezo wa majeshi ya nchi washirika katika kukabiliana na changamoto za kiusalama.
Rwanda iliwakilishwa katika sherehe hizo na Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Rwanda, Lt Jenerali Mubarakh Muganga.



 
Please jibu swall, ni mkoa gani Rwanda unachimba cobalt? Tribalism na ignorance ipo Rwanda tena sana tu.
No idea about cobalt so no answer from me, ni kweli Rwanda kulikuwa na tribalism and ignorance na ndio sababu ilitokea genocide lakini wameanza kubadilika, sasa wenzako na dereva wao wa Uber from Brussels ndio wanachochea moto, Tshesekedi must go na Banyamurenge haki na usalama wao must be secured forever
 
Ignorance na tribalism hasn't stopped in Rwanda bado vip sana tu ila kwa chini chini kwani wananchi walishakatazwa kuzungumzia ukabila ila bado wanabaguana sana.
 
Ignorance na tribalism hasn't stopped in Rwanda bado vip sana tu ila kwa chini chini kwani wananchi walishakatazwa kuzungumzia ukabila ila bado wanabaguana sana.
Kuzuia na kuufanya ukabila kosa kisheria ni hatua nzuri sana
 
It worked after NAZI Germany 🇩🇪 and institutionalized racism in US
Probably it worked in Germany but in the US there's still racism. Kingine usifananishe Rwanda na hizo nchi kwani kilichotokea Rwanda si rahisi mtu kusahau just like that. Inawezekanaje mtu kumsamhe jirani yako aliyechinja ukoo wako wote na unamuona kila siku anapita mtaani huku akiwa na furaha? Ukabila will never end in Rwanda, people will always revenge, sema tu kwa sasa wako in remission because ya utawala wa kimabavu toka ka Kagame. It happened in 1959, 1972 and in 1994. It's just a matter of time before vita nyingine ya kindugu inakuja, civil war has a tendency of repeating kwani walioshindwa hawakubali matokeo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…