Kagame alikua na mkono kwenye mauaji ya Thomas Sankara?

Wanawapenda wa nyarwanda Kwa kitu gani ?? Kwa kuuwana ?
 
Nchi nyingi za Afrika Magharibi ni wenyewe kwa wenyewe tu walimalizana,huyu anaenda kwa wakoloni analalamika hivi wanamuuliza tukusaidieje?anajibu inabidi nimtoe madarakani nikishika mimi nchi itakwenda sawa,atapewa support yoote kuanzia mitutu,pesa na kila kitu.akiingia nayy anatokea mwingine kuloloma nae inakua yale yalee,kumbuka kina Samwel Doe,Samora Machel,Gbagbo,Mugabe,et al.
Ni tabia zetu tu Waafrika, mtu akiwa na kaduka ka kuuza mchele anakuja ndugu yako unamwajiri afanye biashara akishapata connection na wateja anakuibia kidogo kidogo anaanzisha biashara yake kivyake.
simple ila inatia maudhi sana
 
Ni Kweli kabisa Mkuu na Mimi nimeanza Kuligundua hilo Siku hizi za karibuni tu.
Hili mimi nililigundua mapema sana uzuri wangu huwa najitahidi kufuatilia mambo kidogo hasa haya ya kisiasa huwa sifuati upepo.

Kupindi cha utawala wa Mh. JK kuna watu walimsifu sana raisi wa Rwanda na nchi ya Rwanda kwa maendeleo makubwa anayoyafanya hasa ununuzi wa ndege na wakaishauri serikali yetu ijifunze kutoka Rwanda, eti leo ghafla baada ya Mh. JPM kwenda Rwanda eti Kagame na Rwanda wamekuwa wa baya na, wanasemwa vibaya na wale waliokuwa wanawaimbia pambio.
 
Cc killanga1
 
Cc killanga1

Leo hajalala na Wewe kwahiyo ndiyo maana unamuita au? Halafu umekosea Kuliandika Jina lake hivyo hawezi Kukupata hivyo tulia kisha uliandike upya Jina lake Mumeo huyo ili aweze Kukusikia Wewe Mkewe tafadhali.
 
Pamoja na jografia kuwa mbali ila uwezo wa taifa au mtu mwenye uwezo hauzuiwi nahilo ktk kushiriki mapinduzi au mauaji...fact yakuhusika au kutohusika haionekani wazi ila yote yanaweza kuwa sahihi au mojawapo kati ya hayo...hata cc watanzania tumeshiriki kuvisaidia vyama vya kikombozi enzi za kusaka uhuru hata wale ambao hatuko nao jirani kijografia...
 
Kiswahili ni kipana sana, anaposema "Kagame alikua na mkono kwenye mauaji ya Sankara" maana yake alihusika au alishiriki katika mauaji kwa namna moja au nyingine .

Ukirudia alichoandika utaona umesahau question mark aliyoiweka. Anauliza si ndio na sio kutueleza.
 
Uhusiano na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo si mzuri, hata baada ya vita kusimamishwa rasmi mwaka 2003; asasi za kutetea haki za binadamu zinadai Rwanda inaendelea kutegemeza makundi ya waasi ili kufaidika na maliasili ya nchi hiyo jirani, ingawa Kagame anakanusha. ...hapohapo msisahau kuwa alishiriki vita ya msituni kushirikiana na museveni kumuangusha Milton obote nahiyo kati ya mwaka 1981-95 ilipowakuta vita ya kikabila kule kwao Rwanda....xo 70% ya fact ya mtoa hoja inaweza angukia ukweli kuwa alihusika....Thomas Sankara aliangushwa kipindi hcho cha 1983 kma sijakosea kipindi hcho Kagame akizungukazunguka kuunga mkono wanaotaka kuangusha serikali zao ili naye aje kuungwa mkono na wao...
 
Kuna mantiki labda kwa unachokisema,lakini hoja yako ni dhaifu"geographical factor" kuwa ndo genuine reason ya kupinga ama kukubali hoja ya mtoa hoja.tafakari
 
Kagame alikuwa na umri gani wakati huo anauwawa Thomas Sankara? Huenda alikuwa mwanafunzi tu ya angewezaje kuhusika na mauaji ya Sankara ili apate nini? Kagame alikuwa nani wakati huo?
Swali zuri sana. Kipindi hicho Kagame alikuwa anasoma secondary school Kabale nchi ni Uganda. Wakati huo maskini hata hajui SMG Ina uzito gani ikiwa loaded with full magazine.
 
Kagame kipindi hicho alihusika directly kwani ndo alikua kijana mdogo mdogo hivi na alikua akiishi uganda na alikua akifanya mishe kama hizo maana alikua ashakua nyamera...itakua wewe sio mfatiliaji wa mambo kwahiyo unataka kusema nilikurupuka?
 
Tafadhari tupe muda gani ulishapita kati ya kifo cha Sankara na Utawala wa Kagame!!
Au Kagame alikuwa wapi wakati wa mauwaji!!
Msibebeshe watu mizigo ya uongo!!
 
Yaani waTz ni vilaza na waoga wa kutupwa mottoni kabisa, mkisikia neno ‘Paul Kagame’ presha 270!, mbona mbateseka?, na bado mtateseka sana kwa maana jamaa bado yupo yupo adi 2030!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…