Kagame alikua na mkono kwenye mauaji ya Thomas Sankara?

Huyu jamaa nimemshangaa sana nimeisoma sana historia ya Thomas Sankara jinsi alivosalitiwa mpaka kupinduliwa hatimae kuuwawa na rafiki yake kipenzi wa tangu utotoni Compaore.
Sasa hii habari ya Kagame kuhusika sijui kaitoa wapi.

Inawezekana kachanganya majina na huyu Sankara aliejifanya anakaribia kupindua utawala wa Kagame, mwisho wa siku kakamatwa kama kuku huko Comoro.
 
Tafadhari tupe muda gani ulishapita kati ya kifo cha Sankara na Utawala wa Kagame!!
Au Kagame alikuwa wapi wakati wa mauwaji!!
Msibebeshe watu mizigo ya uongo!!
Kagame kipindi hicho alikua kijana akitumiwa kupiga misheni kama hizo sehem mbalimbali
 
Nyie madada poa wa Lumumba tulishawazoea,, hamjitambui kazi yenu ni kutukana hata pasipo hitaji kutukana, na kibaya zaidi wengi wenu mnatumia mikalio yenu kufikiri
Blaalfuull wewe
 
Swali zuri sana. Kipindi hicho Kagame alikuwa anasoma secondary school Kabale nchi ni Uganda. Wakati huo maskini hata hajui SMG Ina uzito gani ikiwa loaded with full magazine.
Alikuwa sekondari (1987/88), akiwa na miaka 30? Halafu miaka 7 baadae akawa rais wa nchi?
 
Kagame alikuwa na umri gani wakati huo anauwawa Thomas Sankara? Huenda alikuwa mwanafunzi tu ya angewezaje kuhusika na mauaji ya Sankara ili apate nini? Kagame alikuwa nani wakati huo?
Kipindi hicho kagame alikuwa Afisa ujasusi mkuu wa Uganda chini ya rafiki yake Museven(October 1987) wakati Sankara anauwawa. Almost kagame alikuwa na umri wa miaka 30.
 
Leo wana traore anapita mule mule kwa sankara
 
Wahutu mlianzisha genocide mkaishia kukimbia baada ya kichapo kikali, naona mmeamia mitandaoni sasa kuendeleza sumu zenu
 
Mimi mwenyewe nawapenda
Nasikia watoto wana maumbo mazuri
watoto wana sura nzuri
Ila kubwa kuliko yote watoto wana Maji ya kutosha!
ukimkiss tu
godoro lote linalowa
 

Kwa ninavyowajua watanzania hata uwapende na kuwaheshimu kiasi gani ila ikitokea wakaamini kuwa wewe sio MTU wa matendo mema kwa watu wengine (hasa ndugu zao waafrika) basi wewe ni sifuri tu hufai
 
Wamemuweka KAGAME kwenye heading kukuvutia usikilize makala yake, lakini kwenye makala yenyewe hakutajwa hata kwa bahati mbaya.
Aina fulani ya utapeli kama muuza mkaa anaweza kukuwekea mapande makubwa makubwa juu, chini ukawekewa jivu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…