fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 2,977
- 3,798
Paul Kagame,anampiga vita Baba Raila Odinga asiwe rais wa kamisheni ya Afrika,kwani anajua kuwa hawezi kumburuza.Kiburi na jeuri ya Kagame itaendelea mpaka lini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kagame pekee ndo anayechagua ?Paul Kagame,anampiga vita Baba Raila Odinga asiwe rais wa kamisheni ya Afrika,kwani anajua kuwa hawezi kumburuza.Kiburi na jeuri ya Kagame itaendelea mpaka lini?
anafanya kampeni dhidi ya railaKagame pekee ndo anayechagua ?
sisemi wamchague raila lakini kwanini kagame anampiga raila raila,yeye apige kuta yake moja basiMkuu una chembe chembe za udikteta, kwani wote lazima wamchague Odinga?.
sawa lakini kwanini umpige vita raila? wewe piga kura yako dhidi yake lakini kupeleka waziri wako kuzunguka afrika nzima kumpiga vita raila,why?Ndio maana ya demokrasia
Sio lazima watu wote wamuunge Mkono Raila
sawa lakini kwanini umpige vita raila? wewe piga kura yako dhidi yake lakini kupeleka waziri wako kuzunguka afrika nzima kumpiga vita raila,why?
ok ni sawaNdio siasa hizo.
Kutomuunga Mkono Mtu ndio kumpinga hivyo
Kagame anataka Rais wa hiyo kamisheni awe nani ?Paul Kagame,anampiga vita Baba Raila Odinga asiwe rais wa kamisheni ya Afrika,kwani anajua kuwa hawezi kumburuza.Kiburi na jeuri ya Kagame itaendelea mpaka lini?
anataka yule mjibutiKagame anataka Rais wa hiyo kamisheni awe nani ?
Kwani Democrasia inakataza kampeni?sisemi wamchague raila lakini kwanini kagame anampiga raila raila,yeye apige kuta yake moja basi
fanya kampeni waziwazi bit sio kumpiga mtu vita kifichoKwani Democrasia inakataza kampeni?