Kagame anampiga vita Raila

fimboyaukwaju

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2020
Posts
2,977
Reaction score
3,798
Paul Kagame,anampiga vita Baba Raila Odinga asiwe rais wa kamisheni ya Afrika,kwani anajua kuwa hawezi kumburuza.Kiburi na jeuri ya Kagame itaendelea mpaka lini?
 
Na Raila atashinda hicho kiti. Hiyo mutu inayofanana na mjusi haiwezi kumzuia Odinga kukaa kwenye kiti.
 
Paul Kagame,anampiga vita Baba Raila Odinga asiwe rais wa kamisheni ya Afrika,kwani anajua kuwa hawezi kumburuza.Kiburi na jeuri ya Kagame itaendelea mpaka lini?
Kagame anataka Rais wa hiyo kamisheni awe nani ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…