Kagame anavyoionesha duniani kuwa nchi yake ina watu wenye akili, elimu na uwezo mkubwa wa kufikiri kushinda Waisrael

Bro ebu uwe unakua na aibu kwene mambo ambayo huyajui??
Unajua n kiasi gan RWANDA inapewa msaada na marekani kila mwaka??
Ni misaada mingap ya EU AINAENDA rwanda
Huelewi Geopolitics za maziwa makuu unaongea tu kama umefungwa motor
 
Tukusaidie maana kusoma hujui bas jitahidi uone
 

Attachments

  • 53F3EBE0-E4DB-428A-A235-1D730EF5952A.jpeg
    513.4 KB · Views: 7
we kama hukiwi kinyeo bas kuna namna linda haliko sawa
 
Propaganda. We unaejua elezea kama hutaelezea ulosoma mtandaoni.
 
Hivi Mataifa yanayoshindwa kuwasambaratisha m23 huku wakilalamikia Rwanda kuisadia m23, hivi wataweza kweli kupambana Rwanda yenyewe?
Nafikiri ni Bora kufanyika mazungumza ya kutatua mzozo badala ya kuikabili.
 
Mkuu ambacho hujui ni kwamba Rwanda inapokea misaada mikubwa ya kifedha na kijeshi kutoka ulaya, mfaano ni juzi tu uingireza kasitisha mabilioni ya dola kwenda Rwanda kufuatia tuhuma za Rwanda kuisaidia m23.
Umesema apo juu kwamba Rwanda anamzidi Israel si kweli bali Rwanda anatumia tech ya Israel kujam GPS signal ili kupoteza direction ya ndege za Congo.
Kama na io aitoshi Vifaru alivyotumia kutungua drone za Congo vina nembo ya Israel. Ko apo chakata mwenyewe nani anamtegemea mwenzake.
Ushauri: Kabla ujaropoka uongo apa nenda kusanya maarifa kwenye website za bbc, cnn, aljazeera, new york times n.k
 
Kwanini hii nchi ina mambumbumbu kiasi ichi.
Jitu limemeza propaganda za tv na za kagame linakuja kuropoka hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…