Kagame anavyoionesha duniani kuwa nchi yake ina watu wenye akili, elimu na uwezo mkubwa wa kufikiri kushinda Waisrael

 
Rwanda inaishinda Israel kijeshi, kwa sababu Rwanda inapambana na maadui zake yenyewe. Ila Israel inapambana na maadui zake kwa kupitia msaada wa Marekani, Uingereza, Ufaransa, Ujeruman na nchi zingine za magharibi.
 
Sijaona kitu chochote special 🚮🚮
 
Reactions: 511
 
Israel ni taifa lililojaa damu toka zamani. Lili support makaburu wawamalize waafrika wenzetu huko bondeni.

Isingekuwa Mungu kuingilia basi ndugu zetu wangekufa wote.
 
Hivi hapo Rwanda ukiacha Kigali kuna jiji lingine zuri na tajiri
Wasafi nje tu.Kwanza washamba sana alafu ni wachafu.Just imagine mwanamke ana chumba cha master lakini anaweka kopo la kukojolea ndani hatumii chooo yaani ndiyo utamaduni wa wanawake wa huko.
 
 
 
Israel sasa ushoga ndo ulipoanzia na ndo utapoishia. Mpaka jeshini na serikalini huko Israel kumejaa mashoga. Ukute Netanyahu ana bahasha lake linampumulia tu kimya kimya.
 
Wasafi nje tu.Kwanza washamba sana alafu ni wachafu.Just imagine mwanamke ana chumba cha master lakini anaweka kopo la kukojolea ndani hatumii chooo yaani ndiyo utamaduni wa wanawake wa huko.
Dooh kweli waafrika akili zetu zinafanana haijalishi mazingira, ustaarabu bado ni kipengele kwa wengi wetu, kwahiyo hata wale wa kishua nao wanafanya hivi
 
Na hao Wanyarwanda unaowasifia wanajiita Waisrael wa Afrika Mashabiki. Sasa najiuliza,kwanini hawajiiti Wairan au Wapalestina wa Afrika Mashabiki?
 
Hahaha na wanavyosifiwa kwa ule uzuri sasa
 
Yan we jamaa...kwamba marekan hakuna maskin
Hivi umeelewa hata nilichokiandika, wapi nimesema kwamba marekani hakuna masikini, haya basi nitajie miji tajiri marekani na miji tajiri rwanda tulinganishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…