Kagame anavyoionesha duniani kuwa nchi yake ina watu wenye akili, elimu na uwezo mkubwa wa kufikiri kushinda Waisrael

Tuache kulinganisha mawe na nazi
 
Rwanda inaishinda Israel kijeshi, kwa sababu Rwanda inapambana na maadui zake yenyewe. Ila Israel inapambana na maadui zake kwa kupitia msaada wa Marekani, Uingereza, Ufaransa, Ujeruman na nchi zingine za magharibi.
Leo naanza kuamini ugali unafifisha akili.
 
Yan we jamaa...kwamba marekan hakuna maskin
Marekani masikin wapo wengi tu hadi wengine wanalala kwenye magari, wengine Garden na wengine barabarani.

Sio kwamba serikali haiwezi kuwasaidia kuwapunguzia umasikin, ila tatizo ni kwamba hizo hela ambazo zingetumika kuwasaidia raia wao kujikwamua na umasikin ndio hizo zinazotumika kufadhili vita ya Israel huko Gaza, na nyingine zinaelekezwa Ukraine kupambana na Russia huku raia wao wakilala barabarani na wengine wakifa kwa njaa.
 
Nchi inayozidiwa thamani na asserts za TANESCO ndo unatuletea kelele zake
 
Hakuna sehemu iliyotajwa dini. Afrika Kusini asilimia 99 ni wakristo wa madhehebu mbali mbali akiwemo hayati Desmond Tutu. Lakini wanaichukia Israel kwa matendo yake machafu zaidi ya wewe unavyowachukia waislam.

Mi naweza kusema ni wakristo pekee wa Tanzania japo sio wote, wanajipendekeza sana sana kwa mayahudi na kufurahia mauwaji kwa watoto, wamama na wazee wa gaza na nchi zote za kiislamu
 
Nchi inayozidiwa thamani na asserts za TANESCO ndo unatuletea kelele zake
Ila wanajisimamia wenyewe. Hawaombi ombi misaada ya silaha na budget yao ya kijeshi haiitegemei Marekani ili ijilinde. Lakini Israel kila kitu inategemea kutoka nje.

Hata kupambana na vijana elf 20 tu wasiokuwa na silaha zozote za maana kama Hamas walihitaji misaada ya silaha za kivita kutoka Marekani, UK, Ujerumani nk. So bora Rwanda kuliko Israel.
 
Acha ulongo
 
Mi naweza kusema ni wakristo pekee wa Tanzania japo sio wote, wanajipendekeza sana sana kwa mayahudi na kufurahia mauwaji kwa watoto, wamama na wazee wa gaza na nchi zote za kiislamu
Wengi huwa wanadanganywa huko katika nyumba za ibada. Kwamba vita hii ni ya dini, hivyo baada ya kudanganywa huombwa michango ya kutumwa Israel kulisaidia taifa la Mungu kushinda vita.

Baada ya wadanganywa kukusanya michango, yule aliewadanganya huchukua hela hizo na kwenda kujenga majumba ya kifahari, kununua magari ya bei na kusomesha watoto wake international school.

Huku wachangaji ambao wengi wana maisha duni na elimu ya kuunga unga wakiendelea kusubiri kwenda mbinguni kuonanana na Mungu wa wayahudi awape maisha bora.
 
Mkuu ni vema ukawa unaficha ujinga wako hata kidogo??
Si kwamba kwasababu watu hawakuchallenge ndio kwamba ni kweli ulichoongea
Ulichoongea ni 99% uko blind hujui chochote zaidi ya kusikia propaganda
 
UKWELI NI MMOJA once you SEE , YOU CANNOT UNSEEN
 
Mkuu ni vema ukawa unaficha ujinga wako hata kidogo??
Si kwamba kwasababu watu hawakuchallenge ndio kwamba ni kweli ulichoongea
Ulichoongea ni 99% uko blind hujui chochote zaidi ya kusikia propaganda
Kisicho cha kweli ni kipi? Ndo unatakiwa ukosoea na uelezee ukweli unaoujua wewe ili wenye akili tupime.
 
Sawa myahudi wa kisukuma.
kuna sehemu nimejiita myahudi!!
mi najikubali watu walio weak na inferior ndio hupenda kujifananisha na wengine kama hao rwanda kutwa kujifananisha na israelπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wakat hata kiwanda cha stik za meno hawana
 
Uzi wako una lack mashiko
Kwanza hujui nini kilisababisha wahutu washike serikali??
Hujaeleza nini kilisababisha chuki iliyoleta mauaji ya kimbali?? watu wameishi wote zaidi ya miaka 400 hata kabla ya wakoloni ghafla waje wauane 1994??? na hawakuuliwa wakat idadi yao ndogo walipoingia Kanda ya maziwa makuu miaka mingi iliyopita??

Hujaeleza kilichofanya watutsi kukimbia nchi yao kabla ya 1994??
pia hujaeleza kwann kiongozi wa interlahamwe kua mtusi?
Hujaeleza jinsi walichukuaje nchi na wakat miaka yote walijaribu na kushindwa?
Lakin pia hujaeleza aliyeanzisha mauaji ya kimbali kwa kushuti ndege nan ?
Na kwann had leo bado hajulikani?
Pia huelezi Marekan,ufaransa na UK zinanufaika vipi na huu mpango wao??
Pia hujaeleza kivp nchi ndogo kuliko tabora iweze kua na uchumi na haina viwanda wala haina madini ? inapata hela wapi??
na kwann rwanda ndio muuzaji wa madini yanayopatikana kongo??

mkuu siku ukiuelewa ukweli na kuuongea wenye akili watakuja kuchangia kwene uzi wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…