Kagame Cup, Dar es Salaam-Tanzania 2015 Special thread!

Natabili fainal itakua ni YANGA VS GOR na Yanga kama kawa ndoo itakua yake!!!!
 
Yanga ni timu hora TANZANIA kwa sasa na tukifanikiwa kurekebisha nafasi ya kiungo namba 6, pamoja na beki namba 4, YANGA itakuwa bora AFRIKA.
 
Haaaaaaa! Nilikua silijui hili mkuu.Halafu kuna mtu hua ananiringia sana kutokana na haya mambo ya history. ..
Naomba aione hii post
cc: Mdakuzi

Duh. Hahahaaaa... Kwa kawaida historia huwa hazifutwi, hasa historia zilizotukuka.

Ova
 
Kuna ile nyimbo sijui aliimba John Walker inaitwa "Mnisamehe"

Natamani Yanga ifungwe... Mnisamehee.
 
Ila hawa Gor Mahia ni hatari.. Natamani yanga warudiane nao... Mnisameheee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…