demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,292
- 15,250
Hao hao yebo yebo wa bongo leo kama wameokota dodo katika mtende
Hata Kombe la Ligi Kuu Tanzania bara tuliliokota hivyo hivyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao hao yebo yebo wa bongo leo kama wameokota dodo katika mtende
Yanga hakuna wapigaji wa penati kwan hamtambui hilo
Haya basi zichukue zile penalty walizo zikosa Yanga Fc uwapelekee wale wanaokula Mapeasi.
Simba ya MAPEASI.

Mwashiuya, likumbukwe hilo jina.
Pole yanga na subiri kipigo cha kmkm!
Kwani kaka Danny greeny uko wapi leo?
Natabili fainal itakua ni YANGA VS GOR na Yanga kama kawa ndoo itakua yake!!!!
Yanga hata nafasi ya pili haipati...itakuwa ya Tatu.........Pamoja na Mbeleko zote wanazopata
Kuna ile nyimbo sijui aliimba John Walker inaitwa "Mnisamehe"
Natamani Yanga ifungwe... Mnisamehee.
Ila hawa Gor Mahia ni hatari.. Natamani yanga warudiane nao... Mnisameheee
Yanga ni timu hora TANZANIA kwa sasa na tukifanikiwa kurekebisha nafasi ya kiungo namba 6, pamoja na beki namba 4, YANGA itakuwa bora AFRIKA.