Habari wana sports wa jf,Kama nilivyoeleza katika kichwa cha habari hapo juu.
Leo tunaanza safari ya kuchukua ubingwa wa kombe la kagame,Na SAFARI HII ITATUCHIKUA TAKRIBANI DAKIKA 450.Tunamfunga kmkm leo then anakuja huyo khartoom al watani jpili naye anachapwa.TUNAKWENDA ROBO FINAL YEYOTE ATAKAYEJIPENDEKEZA TUNAPIGA ATAKAYEKUJA NUSU FINAL NAYE HIVYO HIVYO NA KWA KUWA TUNAHITAJI HUU UBINGWA BASI HATA FINAL TUTASHINDA TU MAANA HAMNA NAMNA NI LAZIMA WAFUNGWE TU.
Go go go go go go YOUNG AFRICAN SC.
Updates;
Leo tunaendeleza kupunguza zile dakika kuelekea ubingwa.TUNAFUNGA HAO MANGILI LEO NA KUBAKIZA DK 270 KTK SAFARI YETU YA UBINGWA.
go go go go go go go yOUNG aFRICA Sc