Kagame Cup, Dar es Salaam-Tanzania 2015 Special thread!

Kagame Cup, Dar es Salaam-Tanzania 2015 Special thread!

Yanga ni timu hora TANZANIA kwa sasa na tukifanikiwa kurekebisha nafasi ya kiungo namba 6, pamoja na beki namba 4, YANGA itakuwa bora AFRIKA.

Mkuu kwani Mbuyu Twite haimudu tena nafasi hiyo?
 
Habari wana sports wa jf,Kama nilivyoeleza katika kichwa cha habari hapo juu.
Leo tunaanza safari ya kuchukua ubingwa wa kombe la kagame,Na SAFARI HII ITATUCHIKUA TAKRIBANI DAKIKA 450.Tunamfunga kmkm leo then anakuja huyo khartoom al watani jpili naye anachapwa.TUNAKWENDA ROBO FINAL YEYOTE ATAKAYEJIPENDEKEZA TUNAPIGA ATAKAYEKUJA NUSU FINAL NAYE HIVYO HIVYO NA KWA KUWA TUNAHITAJI HUU UBINGWA BASI HATA FINAL TUTASHINDA TU MAANA HAMNA NAMNA NI LAZIMA WAFUNGWE TU.
Go go go go go go YOUNG AFRICAN SC.



Updates;
Leo tunaendeleza kupunguza zile dakika kuelekea ubingwa.TUNAFUNGA HAO MANGILI LEO NA KUBAKIZA DK 270 KTK SAFARI YETU YA UBINGWA.
go go go go go go go yOUNG aFRICA Sc
 
Hao hawaangalii hii mechi..ngoma iko nusu uwanja muda mreefu KMKM wanashindwa kabisa kupanda. Dakika ya 44. Bila bila.
 
Kuna aja ya Tambwe kuingia kipindi cha pili na Msuva,ila Msuva ata kwenye benchi sijamuona.
 
Back
Top Bottom