Kagame Cup, Dar es Salaam-Tanzania 2015 Special thread!

Watakaochagua man of the match watapata shida sana. Naumuona coutinho na yondani
 
Goli la tambwe ilikuwa krosi ya kona kutoka kwa Fundi Haruna Niyonzima Fabregass
 
Nimempenda sana Coutinho...simba wasubiri ttu fimbo
 
Yanga wataishangilia hata wale wa mrengo wa kushoto.
 
Hawa wachezaji wa Khartoum ukiwavua hizo jezi na sox nyeupe ukawapiga full black watakuwa wanaonekana macho tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…