Kagame Cup, Dar es Salaam-Tanzania 2015 Special thread!

Mpira umesimama Barthez anapewa matibabu kidogo...wachezaji wanapata muda wa kunywa maji Dakika ya 69.
 
Angekuwepo Ngoma sijui ingekuwaje leo
 
Barthez anaokoa shuti la ousmailla baba. Dah jamaa walikuwa wanazawazisha
 
Kanavaro in Yondani out..82 min
 
Tambwe kabaki na goli kapaishaaaaaaaa dah...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…