Kagame Cup, Dar es Salaam-Tanzania 2015 Special thread!

Kagame Cup, Dar es Salaam-Tanzania 2015 Special thread!

Vipi huko uwanjani? Maana jana Manala amesema mikia watawahi kuingia uwanjani waishangilia Azam.
 
Nlikuwa na wazo la kushabikia azam kwa mkopo ila nmeahirisha naona yanga wameanza kupepesa macho.
 
Huyu Pascal Wawa ni beki mzuri sana
 
Kombe HALINA msisimko, mnyama hayupo! Yanga wanahaha kuofikia rekodi iliyowekwa miaka zaidi ya 10 imepita!
 
Back
Top Bottom