SAA ngapi yanga anachinjwa!?
Hii hapa ratiba ya "DR YEAR NDONDO CUP"
SIMBA SC V/S KUTIANA FC-9.7.2015
WAKUNYUMBA V/S SIMBA SC-11.7.2015.
SIMBA SC V/S WAUZA MKAA FC-13.7.2015
GONGA FC V/S SIMBA SC-15.7.2015.
hiyo ni ratiba niliyoipata kwa mr dr year pale BUNGONI ILALA na bingwa atajizolea kitita cha tshs 500,000 cash!!!!!
Nimewamiss wana Yanga wenzangu, mko wapi? Bantu lady Makoye Matale mito mkolaj DemiGod na wengineo. ...
Nimewamiss wana Yanga wenzangu, mko wapi? Bantu lady Makoye Matale mito mkolaj DemiGod na wengineo. ...
Asante kwa kuniita bestie, ngoja sasa nifuatilie huu mpambano sijui itakuwaje hadi filimbi ya mwisho
Tupeni updates
Tupo tumejaa tele
Daaah ..hii ni hatari kwa ustawi wa afya ya akili
Dah hizi bhaaaange!!!!!!!!!!
Yanga 1 Gor Mahia 0.
Haya sasa mambo ndio kwanza yanaanza.