Kagame Cup, Dar es Salaam-Tanzania 2015 Special thread!

Kagame Cup, Dar es Salaam-Tanzania 2015 Special thread!

Hii hapa ratiba ya "DR YEAR NDONDO CUP"

SIMBA SC V/S KUTIANA FC-9.7.2015
WAKUNYUMBA V/S SIMBA SC-11.7.2015.
SIMBA SC V/S WAUZA MKAA FC-13.7.2015
GONGA FC V/S SIMBA SC-15.7.2015.
hiyo ni ratiba niliyoipata kwa mr dr year pale BUNGONI ILALA na bingwa atajizolea kitita cha tshs 500,000 cash!!!!!

Du...haya mwaya....khah!
 
Hivi Tenga bado ni Mwenyekiti wa Cecafa? Someone to explain plz.

Huyu Musonye huwa simkubali kabisa, jamaa ni mbabe na anaiendesha hii Kanda kimagumashi kwa mawazo yake mwenyewe. Yaani tangu nimeanza kupata ufahamu wa masuala ya Michezo nimekuwa nikilisikia hili jina la Musonye tu ndani ya Cecafa. Hivi kanda nzima ya EA hakuna watu wengine wa kushika wadhifa huo zaidi ya huyu bwana.

BACK TANGANYIKA
 
Yanga 1 Gor Mahia 0.
Haya sasa mambo ndio kwanza yanaanza.
 
Asante kwa kuniita bestie, ngoja sasa nifuatilie huu mpambano sijui itakuwaje hadi filimbi ya mwisho

Mambo yetu mazuri bestie...
Sisi tena? Lazima tuwaoneshe kua sisi ni mabingwa wa kihistoria bwana.
 
Back
Top Bottom