Kagame Cup, Dar es Salaam-Tanzania 2015 Special thread!

Kagame Cup, Dar es Salaam-Tanzania 2015 Special thread!

kuna mchezaji wa gormahia amempiga kipre kiwiko makusudi Kabisa daah
 
Kwa hawa lambalamba,mhhh!!mayeboyebo na mikia enzi zenu byebye kwa soka la Tanzania[/I]
 
Pascal WAWA, is a very good, brilliant, excellent and TALENTED Player. Azam hapo wamepatia sana.

My Take: Kwa sisi Yanga Ngoma ni garasa labda kama atabadilika mbele ya safari.
 
Azam wasipibadilika second half wataumia ushindi watauonea azam tv
 
Huku WAWA kule KAPOMBE, kidogo wanataka kuifikia ile ya Yanga chini ya Mtaalamu KELVIN YONDANI.
 
Back
Top Bottom