Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Daaah tiyari yanga wameanza sifa loh, nani mfungaji
Hatimae Magufuli kashindwa kufika
Bernard Ngoma wa Gor Mahia kapewa red card hapa
Bernard Ngoma wa Gor Mahia kapewa red card hapa
Mgeni jina lake sijalishika vizuri.
Ila majamaa yameshasawazisha
Acha uongo wewe
Best kuna Ngoma wa Yanga pia, so usije ukachanganya
Bwana mimi hata siwajui vizuri ila ndio hivyo mchezaji mmoja wa Gor Mahia kapewa red card
Kapewa wa yanga