Kagame Cup, Dar es Salaam-Tanzania 2015 Special thread!

Eid ishakuwa mbaya. Tusipobadili gemu tutapigwa zaidi ya hizo mbili. Tumefungwa na bado mpira tunacheza nyuma ya goli letu baada ya kuangalia vipi kukaba nafasi ya ngoma na kutafuta bao la kusawazisha
 
Magufuli yupo ,natumaini amevaa kijani kama kawaida ! Huyo anagundu ,mtafungwa sasa hivi la tatu!
 
Bila shaka amewashitukia TFF kuwa kuna kundi la wadandia lift tu wanaotafuta jinsi ya kunyoosha mambo yao kiulanilaini.

Vv
Hutu Magufuli kama Mkapa tu, sijui kama IPO Siku ataingia uwanjani.
 
Super sport 9

isee hii Nchi kweli imeuzwa.
Hivi mashindano makubwa kama haya Nchi ina Tv Stations kibaoo zenye uwezo mkubwa tu wanaenda kuwauzia mashindano wa South Africa?

TFF kweli wao ni Pesa tu na sio kuendeleza soka.
TFF ifaham kwamba Team Zetu zinawapenzi weengi saana mikoani,na wengine hata ukiwatajia DSTV ndio nini hawajui,wao wanajua Station za ndani tu.
Angalua wangeonyeshwa mechi hizi zingefunika machungu ya Team yetu kibonde ya Taifa.

TFF walivyo wanafiki ila kwenye hela wanakuwa waungwana.Kabla ya AZAM kudhamini Ligi Kuu,Supersport miaka mingi walikuwa wanaomba kuionyesha ila wakawa wanabania,na hii inaoneakana kwamba mkono wa AZAM ulikuwa unatambaa chinichini wanajua wao.

Leo hii Mechi hii inachezwa ndani ya Nchi na wananchi hao hao ndio Tunalipia Kodi TBC ili hadi vijijini watu waone mashindano makubwa kama haya eti wanawauzia Makaburu Supersport.
Na mbaya zaidi Supersport wakichukua haki miliki ni wao tu,wanapiga hela wanasepa.Halafu TFF mnasema mnataka kukuza Soka.

Maana vilabu imekuwa ni chaka na Watu kupiga hela,TFF nao kumeingia genge la wapiga helaa.

SIMBA OYEEEEE,bora mlivyojitoa,maana najua hao TFF na Super Sport walijua watapiga hela ndefu mkiwepo nyie
Subirini mechi zinazofuata kama wataona watu uwanjani
 
Barthez leo ndio man of the match kwa upande wetu. Hawa mapimbi wengine fuckin tuu. Kpah sherman IN Msuva a.k.a Barnaba boy OUT
 

Ngonjera nyingi hata hujui msimamo wa ligi iliyotoa washiriki wa kagame ikoje? Simba kajitoa au hana sifa ya kushiriki au hujui kuwa kama kuna timu ingechukuliwa basi mbeya city ndio ingeshiriki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…