Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,023
- 12,811
Hatimae Magufuli kashindwa kufika
Alikuwa anasubiriwa kwa hamu Mwanza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatimae Magufuli kashindwa kufika
Hahahaaaaa, nimetoka nje kidogo subiri nitatoa updates baada ya muda kidogo.
Inamaana hakuna Tv Station yoyote ya ndani ya nhi imepewa rights kuonyesha Mechi hizi?
Au TFF wameishafanya yao,maana kwa pesa hao
Baada ya kuondoa timu za mchangani, mashindano yatakuwa na ushindani mwaka huu
Safi saaanaGor mahia 2 Yanga 1
Magufuli kaogopa kuzomewa, hajatokea uwanjani badala yake kaja raila odinga...,.ukawa wamemtishia nyau na kaogopa kweli hahahahaha
Gor mahia 2 Yanga 1
Kwani na wewe uko uwanjani? (Mchezaji)