Kagame Cup, Dar es Salaam-Tanzania 2015 Special thread!

Kagame Cup, Dar es Salaam-Tanzania 2015 Special thread!

Full Time: Bado tunachance hili kombe lazima tulibakishe.

Mpira ni Amani Mpira ni Upendo na Yanga NDIO MPIRA WENYEWE.

Hatukati tamaa jumatano lazima tuwalaze watu.
 
Yanga kama kawaida yenu ya kuiaibisha Tanzania ..
 
nifah welcom back my precious sis. Kwa hasira naenda ilala kupiga uji wa Shurba ntakaye kuwa nae leo usiku atabeba hasira marambili. Za kufungwa na za hawa mambumbumbu.com
 
Last edited by a moderator:
Full Time: Bado tunachance hili kombe lazima tulibakishe.

Mpira ni Amani Mpira ni Upendo na Yanga NDIO MPIRA WENYEWE.

Hatukati tamaa jumatano lazima tuwalaze watu.


Mkuu game ilikuwaje kwa ujumla lakini?
 
Sijui haya Mchezo gani sie tunaweza kujivunia.

Kenya pamoja na vurugu zote kwenye Siasa,Usalama,Ukabila.
Ila wamerejea kwenye Soka kwa kiwango kikubwa,Waganda ndio kabisaa wapo mbali.

Ila ukiamka na kusoma magazeti yetu,basi unaweza kusema kwamba hapa soka ndio kwao.Acha EPL ianze tuachane na huu ugonjwa wa moyo.

Uhuru Suleiman aliyaona haya,akakwepa Usajili huyooo akasepa zake South Africa

Uhuru ilikua zamani,tangu apate majeruhi hajawai kucheza vzr mpka leo....hao wasouth watamrudisha,namtakia mafanikio ila sijui alipatwa na nini.....
 
Mkuu game ilikuwaje kwa ujumla lakini?

Gemu ilikuwa nzuri sana. Vijana wa jangwani ball control imekuwa nzuri sana, beki kidogo ilipwaya ila Barthez kadhihirisha kuwa yeye sasa ndio Tanzania one. Ushambuliaji kidogo tunahitaji improvement. Pia kutolewa kwa ngoma first half ilitucost sana. Nina uhakika kama timu ya wananchi ingekuwa imetimia uwanjani hawa manyang'au yangelia.

Ila si vibaya kusifia Gor Mahia pia wako vizur sana, safu yao ya ushambuliaji iko active wana kasi na wanajua wamekuja dar kufanya nini.
 
Kwa matokeo haya leo mji utakuwa shwari kabisa na Eid yetu itaenda vizuri sana.
 
Back
Top Bottom