The Supreme Conqueror
JF-Expert Member
- Feb 13, 2017
- 458
- 1,280
Kagame Cup: Maombi yangu Red Arrows awe Bingwa ili lengo lao la Dar Kagame Cup ife rasmi kwani TAzara na Tazama ni muhimu zaidi kuliko wao, Rwanda ni Puppet wa US,UK na France yule mkimbizi JWTZ wamalize mchezo.Watoto wa St Petersburg nani awafute machozi?
Ni kheri kumuenzi Keneth Kaunda na Mwalimu JK kwa Vitendo.
Ukombozi wa Mtu Mweusi utatokana na Mtu Mweusi Mwenyewe.
Ni kheri kumuenzi Keneth Kaunda na Mwalimu JK kwa Vitendo.
Ukombozi wa Mtu Mweusi utatokana na Mtu Mweusi Mwenyewe.