Kagame Cup:Simba, Yanga kundi moja!Yanga hakuna kukimbia

Kwenye kuujaza uwanja ndio sahihi
Yanga hawatatia mguu
 
Ila mpira ni matokeo wakuu
Kuna aliyetarajia km Simba wangefikia Matuta na kucheza kwa kiwango like!!!??
 
Mechi ya Simba na Yanga inabaki kuwa ngumu hata mmojawapo awe na hali mbaya kiasi gani
 
Ahhh itakuwa tushafanya mkutano tarehe 10 na tusharekebisha mambo
 
Huo mkutano mtapigana makonde ya kufa mtu believe me!
ndio uchwi wenu wa kununua baadhi ya wanachama wa Yanga wafanye vurugu mkitumia yule jamaa sio tushayabaini yote subirini tu
 
ndio uchwi wenu wa kununua baadhi ya wanachama wa Yanga wafanye vurugu mkitumia yule jamaa sio tushayabaini yote subirini tu
Kwa njaa ilivyo pale mitaa yenu hata ukimhonga mtu wenu wali wa buku tuu ataleta fujo ya milioni 100!
 
UJINGA ni nipale unapomkimbia SIMBA
sportpesa afu unakutana nae CECAFA patamu
hapo...
 
Mashindano haya yatawajenga upya yanga.
Mpira sio simple kama mnavyofikiri... Hongera CECAFA kwa mashindano haya ili hata sisi Simba tuone usajili wetu.

[HASHTAG]#NGUVU1[/HASHTAG]
 
nahisi tff wanafanya hujuma,wanatafuta namna yanga apigwe tano lakini mungu ni mwema.

wametukosa ligi
wametukosa spotipesa
na hawatatupata kagame
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…