Kagame Cup:Simba, Yanga kundi moja!Yanga hakuna kukimbia

Kagame Cup:Simba, Yanga kundi moja!Yanga hakuna kukimbia

Yanga naiona bado ni timu nzuri tu. Bado inawachezaji wazuri sana.
Eg, Yondani, Ajib, Chirwa, Kamusoko, Kessy, yule kipa mtoto, nk.
Yatizo Yanga hawana uvumilivu, kukiwa na hali ngumu kidogo tu wanakata tamaa.
Miaka mitatu iliyopita Simba walikuwa na hali ngumu sana huku Manji akimwaga mapesa Yanga, lakini Simba walijikaza wakacheza mpira mzuri tu na mara nyingine waliifunga yanga na mfadhiri wao akishuhudia.
Yanga acheni kudeka, mnapodhikiwa kidogo, jikazeni chezeni mpira, wachezaji bado wana nguvu na uwezo wa kucheza vizuri na kushinda.
Mwanaume husifiwa kwa kuweza kuhimili wakati wa shida.
Chakula mnapata na mnashiba nini kinawadhoofisha kiasi hicho ?
Chezeni mpira nyie vijana, bado mnatimu nzuri sana.
 
Back
Top Bottom