Hii ya sasa...hii ya sasa...hii ya sasa...
Mumetumia hayo maneno mpaka midomo imekauka
Nakumbuka hata kuna siku mlimpa Kagame aongoze shughuli nzima ya huo ujenzi, ningewashauri muache kutapatapa mtulie na kukamilisha mradi mmoja kwanza. Huu mchezo wa ligi ya wakubwa, nakumbuka kuna siku mlikua mnamuomba Zuma akawasaidie kusaka mikopo, yaani nyie kwa ukurupukaji.