Kagame dropped Kenya from SGR deal

Kagame dropped Kenya from SGR deal

Hii ya sasa...hii ya sasa...hii ya sasa...
Mumetumia hayo maneno mpaka midomo imekauka

Nakumbuka hata kuna siku mlimpa Kagame aongoze shughuli nzima ya huo ujenzi, ningewashauri muache kutapatapa mtulie na kukamilisha mradi mmoja kwanza. Huu mchezo wa ligi ya wakubwa, nakumbuka kuna siku mlikua mnamuomba Zuma akawasaidie kusaka mikopo, yaani nyie kwa ukurupukaji.
Acha kelele sio kenya hii
 
Acha kelele sio kenya hii

Mumeleta uzi wenyewe kwa makelele halafu unakataza makelele. Hebu ona hii video hapa chini mnavyong'ang'ania kucheza kwa ligi isiyo ya kiwango chenu.
 
Mumeleta uzi wenyewe kwa makelele halafu unakataza makelele. Hebu ona hii video hapa chini mnavyong'ang'ania kucheza kwa ligi isiyo ya kiwango chenu.

Tabia ya kichoko utaacha lini? Yaani una-compare 100 years old rail to 1 year old rail! Kwani Rift Valley Railway iliishia wap?
 
Back
Top Bottom