ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Nakubalina na Kagame mikutano ya Kila siku sijui Kila mara ni upuuzi usio na msingi wakati kinachotakiwa kufanyika ni DRC iache kuwafurusha raia wake Nchi jirani Kwa visingizio visivyo n msingi.
View: https://x.com/TanzaniaInsight/status/1888451650827718870?t=Rdcr172Cbz2z3PedBL7iUQ&s=19
Kagame amesisitiza hakuna mtu wa kuwazibia mdomo linapokuja suala la usalama wao na kwamba Rwanda haihusiki na Vita ya Congo.