Kagame: Hakuna Haja ya Kuwa na Mikutano ya Kila Siku Isiyo na Tija Wakati Hatua Hazichukuliwi.

Kagame: Hakuna Haja ya Kuwa na Mikutano ya Kila Siku Isiyo na Tija Wakati Hatua Hazichukuliwi.

Kagame kasema hatua hazichukuliwi, bi chaudele anapenda show off wakati kichwani hana kitu.
Wewe mwenye kitu na Kagame mumechukia hatua zipi?

Wagombea Kagame na DRC hatua achukue Samia? 😁😁

Mumejaza uji kichwani
 
Porojo PK alijua hakuna mtu strong kuweza kutoa suluhisho pale..porojo tuuuu
Suluhisho la mtu strong ni lipi na linakuaje?

Porojo kuu ni waache vita wakamlize tofauti zao mezani.
 
Sasa hapo kuna point gani, si bora angewatumia WhatsApp tu. Watu mnaitwa ili kuambiwa mkatafute ufumbuzi badala ya kuletewa ufumbuzi
Mambo mengine ni makubwa kwako dada'angu, acha yakupite tu kwani hauna hata kanukta kamoja kaakili kuweza kuyakabili.
Narudia, haters mtavukwa na pedi njiani mwaka huu......mama anawabana Kila angle.
 
Nakubalina na Kagame mikutano ya Kila siku sijui Kila mara ni upuuzi usio na msingi wakati kinachotakiwa kufanyika ni DRC iache kuwafurusha raia wake Nchi jirani Kwa visingizio visivyo n msingi.
View attachment 3230001

View: https://x.com/TanzaniaInsight/status/1888451650827718870?t=Rdcr172Cbz2z3PedBL7iUQ&s=19

Kagame amesisitiza hakuna mtu wa kuwazibia mdomo linapokuja suala la usalama wao na kwamba Rwanda haihusiki na Vita ya Congo.

Vita ya rwanda,Burundi na congo zilizalisha wakimbizi wengi na watoto waliozaliwa makambini wakapata uraia hivyo asili yao hawawezi ikacha wakiona viongozi wao wa mataifa asili damu zina wasisimka
 
Nakubalina na Kagame mikutano ya Kila siku sijui Kila mara ni upuuzi usio na msingi wakati kinachotakiwa kufanyika ni DRC iache kuwafurusha raia wake Nchi jirani Kwa visingizio visivyo n msingi.
View attachment 3230001

View: https://x.com/TanzaniaInsight/status/1888451650827718870?t=Rdcr172Cbz2z3PedBL7iUQ&s=19

Kagame amesisitiza hakuna mtu wa kuwazibia mdomo linapokuja suala la usalama wao na kwamba Rwanda haihusiki na Vita ya Congo.

Kivuruge wa nchi za maziwa makuu.
 
Safi sana, naungana na Kagame.

DRC haiwezekani linchi likubwa lile lishindwe kujikomboa lenyewe. Kama haliwezi kujisimamia na kupigania Territorial Integrity yake basi halideserve kuwa nchi kubwa kihivyo.

Mbona Wataleban waliamua kuipigania nchi yao kwa miaka 20 mpaka mmarekani kaodoka, kwa nini serikali ya Congo ishindwe kudeal na M23 au Rwanda?
 
Congo iachane na hawa mazwazwa ijipambanie yenyewe ikishindwa kujipambania igawanywe tu hakuna namna
 
Afrika Kwa unafiki hatujambo...tatizo ni personality na character thabiti, hakuna hata mmoja mwenye nayo hapo zaidi ya wote ni wakosaji na waoga tu. Waacheni wauane kama panya, nasema waacheni wauane kama kuku.
 
Hivi, kuna sifa fulani anazozipata raisi mwenyeji wa mikutano hii ya kuwakusanya wakuu wa nchi mbalimbali? maana naona mara mkutano wa nishati, halafu hadi sasa nishati yenyewe! mara...
 
Back
Top Bottom