Kagame: Hakuna Haja ya Kuwa na Mikutano ya Kila Siku Isiyo na Tija Wakati Hatua Hazichukuliwi.

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
66,537
Reaction score
75,687
Yuko sahihi kabisa huyu mzalendo wa Nchi yake.Ule mkutano wa Dar ulikuwa ni vichekesho tu yaani wanazunguka kusifiana na kusema wafungue uwanja wa ndege wa goma lakini wanayemtuhumu kusababisha vita wanamwogopa kumwambia.
 
Nani atamfunga paka kengele?

Sasa hiyo airpot gharama atatoa nani?
 
Alikuwa anamuongelea samia wa mchambawima ambae kila mkutano lazima ahudhurie na tija ya mikutano hiyo haionekani.
Zaidi ya kusema hili nalo mkalitazame.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…