Duc in altum
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 1,781
- 3,591
Amehudhuria kwenda kumwambia samia asiwe anahudhuria mikutano ambayo imemzidi uwezo wa kufikiria na haisaidii nchi yake zaidi ya yeye kupiga picha labda na kukwea pipa kama mhudumu wa ndege.Ilikuaje yeye akahudhuria ?
Kwa nini yeye amehudhuria? Hawezi kupiga simu akaeleza hayo Hadi achome Mafuta?Amehudhuria kwenda kumwambia samia asiwe anahudhuria mikutano ambayo imemzidi uwezo wa kufikiria na haisaidii nchi yake zaidi ya yeye kupiga picha labda na kukwea pipa kama mhudumu wa ndege.
Alijua kuna tija kumbe pumba.Ilikuaje yeye akahudhuria ?
Alikuja kufanya nini?Hakuna kweli. Ndio maana PK kawaambia wasimpotezee muda
Hata mlengwa haja hudhuria kaamua kuingia online anajua hamna cha maana zaidi ya per diem.
Tija kama ipi?Alijua kuna tija kumbe pumba.
Halafu hakuna walichoafikiana Cha maaana, azimio yote sijaona wakisema M23 waachie maeneoYuko sahihi kabisa huyu mzalendo wa Nchi yake.Ule mkutano wa Dar ulikuwa ni vichekesho tu yaani wanazunguka kusifiana na kusema wafungue uwanja wa ndege wa goma lakini wanayemtuhumu kusababisha vita wanamwogopa kumwambia.
Hukumsikia waziri wa elimu jinsi chawa aka wadaidizi ambavyo wanawafanyia watu wakihitaji kuzungumza na bi chaudele!!?Kwa nini yeye amehudhuria? Hawezi kupiga simu akaeleza hayo Hadi achome Mafuta?
Sawa sawa we umeona walichoamua ktk huo mkutano?Hata mlengwa haja hudhuria kaamua kuingia online anajua hamna cha maana zaidi ya per diem.
Mikutano hiyo haina tija.Nakubalina na Kagame mikutano ya Kila siku sijui Kila mara ni upuuzi usio na msingi wakati kinachotakiwa kufanyika ni DRC iache kuwafurusha raia wake Nchi jirani Kwa visingizio visivyo n msingi.
View attachment 3230001
View: https://x.com/TanzaniaInsight/status/1888451650827718870?t=Rdcr172Cbz2z3PedBL7iUQ&s=19
Kagame amesisitiza hakuna mtu wa kuwazibia mdomo linapokuja suala la usalama wao na kwamba Rwanda haihusiki na Vita ya Congo.
Ana sababu zake itakuaIlikuaje yeye akahudhuria ?
Chawa anaweza mzuia Rais? Kagame ni Waziri?Hukumsikia waziri wa elimu jinsi chawa aka wadaidizi ambavyo wanawafanyia watu wakihitaji kuzungumza na bi chaudele!!?
Kagame amemwambia akae alee mme aache kidhurura
Na wengine pia Wana sababu zaoAna sababu zake itakua
Huo mkutano ulikua ni story tu, Kuna azimio Gani kubwa limefikiwa ?Na wengine pia Wana sababu zao
Ndio lipoHuo mkutano ulikua ni story tu, Kuna azimio Gani kubwa limefikiwa ?
Hakuna cha maanaSawa sawa we umeona walichoamua ktk huo mkutano?
Tena kidogo akatae hata kupiga picha ya pamojaKagame amesisitiza hakuna mtu wa kuwazibia mdomo linapokuja suala la usalama wao na kwamba Rwanda haihusiki na Vita ya Congo.
Aondoe vikosi vyake ambavyo havijaalikwa DRCNakubalina na Kagame mikutano ya Kila siku sijui Kila mara ni upuuzi usio na msingi wakati kinachotakiwa kufanyika ni DRC iache kuwafurusha raia wake Nchi jirani Kwa visingizio visivyo n msingi.
View attachment 3230001
View: https://x.com/TanzaniaInsight/status/1888451650827718870?t=Rdcr172Cbz2z3PedBL7iUQ&s=19
Kagame amesisitiza hakuna mtu wa kuwazibia mdomo linapokuja suala la usalama wao na kwamba Rwanda haihusiki na Vita ya Congo.