ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
-
- #61
Wewe mwenye kitu na Kagame mumechukia hatua zipi?Kagame kasema hatua hazichukuliwi, bi chaudele anapenda show off wakati kichwani hana kitu.
Suluhisho la mtu strong ni lipi na linakuaje?Porojo PK alijua hakuna mtu strong kuweza kutoa suluhisho pale..porojo tuuuu
Sasa anaenda kufanya nini kwenye mikutano!? Pumbavu wahedi kichwa panzi wewe.Wewe mwenye kitu na Kagame mumechukia hatua zipi?
Wagombea Kagame na DRC hatua achukue Samia? ππ
Mumejaza uji kichwani
Mambo mengine ni makubwa kwako dada'angu, acha yakupite tu kwani hauna hata kanukta kamoja kaakili kuweza kuyakabili.Sasa hapo kuna point gani, si bora angewatumia WhatsApp tu. Watu mnaitwa ili kuambiwa mkatafute ufumbuzi badala ya kuletewa ufumbuzi
Kagame angekuona na kukusikia asingeondoka bila kukuchumbia wallahi!Hakuna kweli. Ndio maana PK kawaambia wasimpotezee muda
Vita ya rwanda,Burundi na congo zilizalisha wakimbizi wengi na watoto waliozaliwa makambini wakapata uraia hivyo asili yao hawawezi ikacha wakiona viongozi wao wa mataifa asili damu zina wasisimkaNakubalina na Kagame mikutano ya Kila siku sijui Kila mara ni upuuzi usio na msingi wakati kinachotakiwa kufanyika ni DRC iache kuwafurusha raia wake Nchi jirani Kwa visingizio visivyo n msingi.
View attachment 3230001
View: https://x.com/TanzaniaInsight/status/1888451650827718870?t=Rdcr172Cbz2z3PedBL7iUQ&s=19
Kagame amesisitiza hakuna mtu wa kuwazibia mdomo linapokuja suala la usalama wao na kwamba Rwanda haihusiki na Vita ya Congo.
Ila asiyetambuaNaunga mkono hoja
Maneno haya yameongewa na mtu anayejitambua
Hana lolote na yeyeIlikuaje yeye akahudhuria ?
Kivuruge wa nchi za maziwa makuu.Nakubalina na Kagame mikutano ya Kila siku sijui Kila mara ni upuuzi usio na msingi wakati kinachotakiwa kufanyika ni DRC iache kuwafurusha raia wake Nchi jirani Kwa visingizio visivyo n msingi.
View attachment 3230001
View: https://x.com/TanzaniaInsight/status/1888451650827718870?t=Rdcr172Cbz2z3PedBL7iUQ&s=19
Kagame amesisitiza hakuna mtu wa kuwazibia mdomo linapokuja suala la usalama wao na kwamba Rwanda haihusiki na Vita ya Congo.
Wapuuz tu woteHawaachani, hachezi naye mbali.
Mm pia MKUUWatu mnakutanishwa kuambiwa "Hili nalo muende mkalitazame". Natamani kujua Samia alichangia nini