The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 8,082
- 17,838
Mzuka wanajamvi!
Kagame kapeleka majeshi yake Central African Republic haraka haraka kwa kisingizio cha kuleta amani na kusaidia serikali ya sasa isipinduliwe na waasi kuelekea uchaguzi mkuu jumapili. Licha ya majeshi ya Rwanda pia Urusi imepeleka. Urusi kikubwa anachotaka ni Uranium.
Central Africa Republic ambayo ina idadi ya watu 4 millions imebarikiwa na Madini na rasilmali nyingi sana Almasi nyingi, dhahabu nyingi, Urenium nyingii.
Pia ina misitu minene na mikubwa ambapo kuna uvunaji wa magogo na mbao. Nchi ina ardhi yenye rotuba. Kuna kilimo na uzalishaji mkubwa wa Pamba, kahawa na Tumbaku.
Licha ya Neema zote hizi Central African kuna umaskini wa ajabu na wakutupwa.
Kagame alivyo mjanjamjanja kashaingia huko na ataendelea kuitajirisha Rwanda jinsi alivyofanya kupitia Eastern Kongo.