Kagame kaenda kuiba rasilimali za CAR

Shinda ya wa africa ndio hio! Umbea mtupu.kazi na kutumia mali mlizonazo mnashindwa ila mdomo ndio kazi tu, africa umasikini hauko ardhini bali vichwani mwenu. Akibatikana mwenye kujielewa na mnaanza kuongea ongea.
 
Nani alikwambia Kagame anayapora hayo madini kwa ajili ya waafrika?

Kagame ni project ya western countries, inasemekana anatumika na USA.

Kama hilo hujui, uliza ugomvi wake na JK ulitokana na nini?

Ugomvi wao ulitokana na JK kumwambia ni lazima afanye mazungumzo na waasi waliokua wanampinga PK kutokea misitu ya DRC. Na mambo yaliharibika zaidi JK aliposisitiza hilo walipokutana Ethiopia, hayo yalisemwa na PK aliposema JK atapigwa na hatojua kilichompiga. JK alipoacha na agenda hio ugomvi wao uliishia hapo.
 
Kagame mjanja
 
Sio kweli mtoa mada JWTZ iko kule mwaka wa nane sasa mbona haini haya ni majukumu yaliyoko chini ya Umoja wa mataifa
 
Nani alikwambia Kagame anayapora hayo madini kwa ajili ya waafrika?

Kagame ni project ya western countries, inasemekana anatumika na USA.

Kama hilo hujui, uliza ugomvi wake na JK ulitokana na nini?
Uongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…