Kagame kuleta ndege ya tano; Kikwete umeshindwa nini ATCL?

Ndg zangu hebu tuamke kifikira tuache ushabiki wa kisiasa hebu tuangarie Maendeleo ya inchi yetu.CCM imeturudisha nyuma sana hebu tuiweke kando kwanza.Mpeni kura za ndiyo Dr Slaa 2010.ili tuone mabadiriko angalau, hata km na yeye akija kutugeuka tunamtoa vilevile tusiogope
ENYI CHADEMA.....URAISI HAUFANYIWI MAJARIBIO.....SIO KUWA MBUNGE KWA VIPINDI VIWILI UTOSHE KUONGOZA NCHI........kama ambavyo JK 1995 hakutosha kuwa rais kwani nafasi alizoshika hazikukidhi vigezo....UBUNGE NA UWAZIRI aliokuwa nao bado haukuwa uzoefu tosha........!bado hujakomaa kuingoza TZ Slaa NZANIA YETU....muulize msomi mwenzako LIPUMBA aliyedhani usomi ni urais.

POLE SANA "MKUU MAHESABU" Umeonyesha jinsi usivyojihusisha na maendeleo kuanzia yako binafsi na taifa lako pia, kwa mawazo yako wewe mtu anapata uzoefu akiwa ktk serkali tu au precisely ccm tu.
 
Kupanga ni kuchagua.

Ukichagua sumu utakunywa sumu; je Tanzania mnayo hii?? Hata moja tu.

attachment.php

100506-rwandair737800-01.jpg

Kunyweni chai na CCM + Kikwete halafu baadaye mtalamba viatu vya Rwanda na Kenya miaka hamsini ijayo.

Mnarubuniwa na propaganda za tubaki na CCM ili yale ya Rwanda yasitutokee wakati wenzako wanasonga mbele.

Ningeshauri Viongozi wa Upinzani wawe na video za kutoka Rwanda wazitume kwenye kampeini kuonyesha jinsi gani nchi yetu haina mweleko huku Rwanda wanapiga hatua.
 
akiamungu cha ajabu wanyarwanda wanapasua ANGA
sisi tunatishiwa na mauwaji ya rwanda ndioo maana jamaa kalamba asilimia98.7777777777777777 ya kura jana sasa sijui watanzania huuyu bana mtampa kwa sababu zipi urais
 
Magufur kasha let's Boeing

Mwakani JPM akipata hiyo 98% utawasikia.
 
Wapinzani waliopanga kwenye nyumba ya nwenyekiti miaka yote wanashindwa kulipa kodi ndo waje kuongelea ndege..!!
 
Back
Top Bottom