Kagame kuleta ndege ya tano; Kikwete umeshindwa nini ATCL?

Kupanga ni kuchagua.

Ukichagua sumu utakunywa sumu; je Tanzania mnayo hii?? Hata moja tu.

Kunyweni chai na CCM + Kikwete halafu baadaye mtalamba viatu vya Rwanda na Kenya miaka hamsini ijayo.

Mnarubuniwa na propaganda za tubaki na CCM ili yale ya Rwanda yasitutokee wakati wenzako wanasonga mbele.

Ningeshauri Viongozi wa Upinzani wawe na video za kutoka Rwanda wazitume kwenye kampeini kuonyesha jinsi gani nchi yetu haina mweleko huku Rwanda wanapiga hatua.
 
akiamungu cha ajabu wanyarwanda wanapasua ANGA
sisi tunatishiwa na mauwaji ya rwanda ndioo maana jamaa kalamba asilimia98.7777777777777777 ya kura jana sasa sijui watanzania huuyu bana mtampa kwa sababu zipi urais
 
Magufur kasha let's Boeing
 
akiamungu cha ajabu wanyarwanda wanapasua ANGA
sisi tunatishiwa na mauwaji ya rwanda ndioo maana jamaa kalamba asilimia98.7777777777777777 ya kura jana sasa sijui watanzania huuyu bana mtampa kwa sababu zipi urais
Mwakani JPM akipata hiyo 98% utawasikia.
 
Wapinzani waliopanga kwenye nyumba ya nwenyekiti miaka yote wanashindwa kulipa kodi ndo waje kuongelea ndege..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…