Kagame na Museveni wametangulia kumpongeza Uhuru

Lazima muelewe kuwa Tanzania ndio wasuluhishi wakuu wa matatizo ya kisiasa nchini Kenya. Hatuwezi kuanza kutoa matamko mapema wakati hali bado ni tete nchini Kenya.

Mwaka 2007 walipoingia kwenye machafuko ya kisiasa hawakukimbilia Uganda au Rwanda bali walikuja Tanzania kutuomba tuwasaidie.

Ni lazima serikali iwasiliane na pande zote kabla ya kutoa tamko.

Muda mwafaka ukifika, salamu za pongezi zitatumwa.
I bet,wakipata shida sasa hivi hawawezi kuja Tanzania!
Halafu hiyo shida unaitangaza wewe,wala kenya hakuna shida!
Raila kupinga matokeo was expected!
 
Madikiteta lazima waanze nawashangaa sana wanaojiita wapinzani ambao ata mimi mwao niliwaona wana akili na nikawapa kura 2015...sasa natamka...mtajuta maisha yenu yote ...nmeamini CDM ipo mikononi mwa bussness man no Party at all...2015 mliona mmeibiwa na kujfanya ohhho tuanenda The Hegue leo mnaona Uhuru kuua Mkurugenzi wa IT wa Tume ya Uchaguzi na kuhack matokeo ni sahihi...sasa aminini kua mmeshaondolewa kwenye mstari na wamiliki wapya wa chama sasa wanaotafta biashara Kenya baada ya JPM kudai VAT kila mahali.. nisiwaskie wakilalamika kuanzia 2025 cz najua 2020 JPM hana mpinzani mazuri aliyofanya ikiwemo kubana mirija ya wezi ....nataman mlizwe kwenye syastem ya uchaguzi 2025 na naamin itakua hivyo...na huu uzi nitaupdate. ..mkasherekee salama EL ...RA n ur CDM team
Povu
 
2b2fef7aa654298a1e47b7f3c9b8031c.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata ukiingia twiter wa kwanza kagame ,museveni nkurunziza ,na Lowasa wa kwetu anaona aibu ya nini
 
....ah wapi...wasuluhishi watabaki kuwa kina mkapa Na jk lakini si utawala huu....utawala huu ni shidaaa.....kumbuka usuluhishi unaendana na integrity ya viongozi husika Na si nchi per se..ndio maana unawaona hadi leo kina thabo mbeki...ama koffi annan ama jimmy carter wanaitwa kusuluhisha.....hii ni kwa sababu ya integrity walojijengea wakiwa viongozi....kamwe hutomsikia Zuma akiitwa kusuluhisha migogoro hata akitoka madarakani... Sababu ya upuuzi alofanya nchini mwake...usifikiri watu wanaitwa tu kusuluhisha...ama kuwa waangalizi wa uchaguzi....hii inatokana na matendo yao wakiwa watawala....

Lazima muelewe kuwa Tanzania ndio wasuluhishi wakuu wa matatizo ya kisiasa nchini Kenya. Hatuwezi kuanza kutoa matamko mapema wakati hali bado ni tete nchini Kenya.

Mwaka 2007 walipoingia kwenye machafuko ya kisiasa hawakukimbilia Uganda au Rwanda bali walikuja Tanzania kutuomba tuwasaidie.

Ni lazima serikali iwasiliane na pande zote kabla ya kutoa tamko.

Muda mwafaka ukifika, salamu za pongezi zitatumwa.
 
Lazima muelewe kuwa Tanzania ndio wasuluhishi wakuu wa matatizo ya kisiasa nchini Kenya. Hatuwezi kuanza kutoa matamko mapema wakati hali bado ni tete nchini Kenya.

Mwaka 2007 walipoingia kwenye machafuko ya kisiasa hawakukimbilia Uganda au Rwanda bali walikuja Tanzania kutuomba tuwasaidie.

Ni lazima serikali iwasiliane na pande zote kabla ya kutoa tamko.

Muda mwafaka ukifika, salamu za pongezi zitatumwa.
Btw tangazo la ushindi limetolewa saa ngapi? Sasa hivi saa ngapi? Kwanini tufikiri JPM amechelewa? Kama tume ya uchaguzi imemtangaza Rais atatuma salamu za pongezi hilo halina ubishi zaidi ya kukuzwa tu na bavicha ....
 
Lazima muelewe kuwa Tanzania ndio wasuluhishi wakuu wa matatizo ya kisiasa nchini Kenya. Hatuwezi kuanza kutoa matamko mapema wakati hali bado ni tete nchini Kenya.

Mwaka 2007 walipoingia kwenye machafuko ya kisiasa hawakukimbilia Uganda au Rwanda bali walikuja Tanzania kutuomba tuwasaidie.

Ni lazima serikali iwasiliane na pande zote kabla ya kutoa tamko.

Muda mwafaka ukifika, salamu za pongezi zitatumwa.
walikuja kwa kikwete sio huyu wa Leo huyu hawezi hata kuwasuluhisha kuku
 
wa chato atakuwa kanuna uko mbona kwa Kagame aliwahi kutoa salamu za pongezi

G.O.M.D
 
Tena atumie kiswahili maana kikuwait kina matatizo yake
 
Lazima muelewe kuwa Tanzania ndio wasuluhishi wakuu wa matatizo ya kisiasa nchini Kenya. Hatuwezi kuanza kutoa matamko mapema wakati hali bado ni tete nchini Kenya.

Mwaka 2007 walipoingia kwenye machafuko ya kisiasa hawakukimbilia Uganda au Rwanda bali walikuja Tanzania kutuomba tuwasaidie.

Ni lazima serikali iwasiliane na pande zote kabla ya kutoa tamko.

Muda mwafaka ukifika, salamu za pongezi zitatumwa.

Huo utete uliipeleka wewe?
 
Chama tawala Kenya hakipo tena kwenye uso wa Dunia, so ni sahihi CHADEMA kuunga mkono upinzani unaoongoza Kenya

Mfano ni Ghana ambako kilichokuwa chama cha upinzani kinaongoza Serikali ya Nchi hio, now kimekuwa chama tawala, kuungwa mkono na chama CHADEMA ni sahihi mana kabla ya kuwa chama tawala kilikuwa chama pinzani
 
Kkaka kwa mara ya kwanza nimeamini your a Gentleman achana na wapigaji wamekodoa macho kuangalia upenyo. ..sasa wanasuport aliyeua IT Director wa Tume ya uchaguzi kenya na kumkata mikono hawa ni wapinzani au wapiga dili ...nmeamin CDM iliuzwa 2015. ...Maskini na wasio na elimu ndio wanadanganywa bila kujua wenzao wamefcha ela Australia na wamekabdhi chama

Aya ni matamshi ya kipuuzi. Msiusishe siasa na mauaji wakati uchunguzi haukuonesha ivo. Acheni ujinga
 
Madikiteta lazima waanze nawashangaa sana wanaojiita wapinzani ambao ata mimi mwao niliwaona wana akili na nikawapa kura 2015...sasa natamka...mtajuta maisha yenu yote ...nmeamini CDM ipo mikononi mwa bussness man no Party at all...2015 mliona mmeibiwa na kujfanya ohhho tuanenda The Hegue leo mnaona Uhuru kuua Mkurugenzi wa IT wa Tume ya Uchaguzi na kuhack matokeo ni sahihi...sasa aminini kua mmeshaondolewa kwenye mstari na wamiliki wapya wa chama sasa wanaotafta biashara Kenya baada ya JPM kudai VAT kila mahali.. nisiwaskie wakilalamika kuanzia 2025 cz najua 2020 JPM hana mpinzani mazuri aliyofanya ikiwemo kubana mirija ya wezi ....nataman mlizwe kwenye syastem ya uchaguzi 2025 na naamin itakua hivyo...na huu uzi nitaupdate. ..mkasherekee salama EL ...RA n ur CDM team
Friend of my enemy is enemy
Unamsapot vp Raila while unamuona akiwa na magamba?
Ww ni magamba unayejifanya uko nasi..
Peleka kura yko huko isitutishie na kura yako ya fuata upepo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa alishaharibu kutoa pongezi ni kujichanganya mkuu na nikuendela kudhihirisha mataifa ya nje yanachosema kuhusu utawala huu
Mkuu,mtukufu alishayakoroga tangu mwanzo kuside na mjaluo kwahiyo hata salamu zake akizitoa mtoto wa mjini Uhuru atazichukulia kama zero tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Madikiteta lazima waanze nawashangaa sana wanaojiita wapinzani ambao ata mimi mwao niliwaona wana akili na nikawapa kura 2015...sasa natamka...mtajuta maisha yenu yote ...nmeamini CDM ipo mikononi mwa bussness man no Party at all...2015 mliona mmeibiwa na kujfanya ohhho tuanenda The Hegue leo mnaona Uhuru kuua Mkurugenzi wa IT wa Tume ya Uchaguzi na kuhack matokeo ni sahihi...sasa aminini kua mmeshaondolewa kwenye mstari na wamiliki wapya wa chama sasa wanaotafta biashara Kenya baada ya JPM kudai VAT kila mahali.. nisiwaskie wakilalamika kuanzia 2025 cz najua 2020 JPM hana mpinzani mazuri aliyofanya ikiwemo kubana mirija ya wezi ....nataman mlizwe kwenye syastem ya uchaguzi 2025 na naamin itakua hivyo...na huu uzi nitaupdate. ..mkasherekee salama EL ...RA n ur CDM team

huyo Odinga alipomsapoti Magufuri na kuwaterekeza ukawa ulitaka wao wamsapoti sasa kwa kumuogopa nini ?

Imepenya hiyooooo wewe mlie mcheke Uhuru tano tenaaaaaaa
 
Back
Top Bottom