Kagame na Museveni wametangulia kumpongeza Uhuru

I bet,wakipata shida sasa hivi hawawezi kuja Tanzania!
Halafu hiyo shida unaitangaza wewe,wala kenya hakuna shida!
Raila kupinga matokeo was expected!
 
Povu
 
Hata ukiingia twiter wa kwanza kagame ,museveni nkurunziza ,na Lowasa wa kwetu anaona aibu ya nini
 
....ah wapi...wasuluhishi watabaki kuwa kina mkapa Na jk lakini si utawala huu....utawala huu ni shidaaa.....kumbuka usuluhishi unaendana na integrity ya viongozi husika Na si nchi per se..ndio maana unawaona hadi leo kina thabo mbeki...ama koffi annan ama jimmy carter wanaitwa kusuluhisha.....hii ni kwa sababu ya integrity walojijengea wakiwa viongozi....kamwe hutomsikia Zuma akiitwa kusuluhisha migogoro hata akitoka madarakani... Sababu ya upuuzi alofanya nchini mwake...usifikiri watu wanaitwa tu kusuluhisha...ama kuwa waangalizi wa uchaguzi....hii inatokana na matendo yao wakiwa watawala....


 
Btw tangazo la ushindi limetolewa saa ngapi? Sasa hivi saa ngapi? Kwanini tufikiri JPM amechelewa? Kama tume ya uchaguzi imemtangaza Rais atatuma salamu za pongezi hilo halina ubishi zaidi ya kukuzwa tu na bavicha ....
 
walikuja kwa kikwete sio huyu wa Leo huyu hawezi hata kuwasuluhisha kuku
 
wa chato atakuwa kanuna uko mbona kwa Kagame aliwahi kutoa salamu za pongezi

G.O.M.D
 
Tena atumie kiswahili maana kikuwait kina matatizo yake
 

Huo utete uliipeleka wewe?
 
Chama tawala Kenya hakipo tena kwenye uso wa Dunia, so ni sahihi CHADEMA kuunga mkono upinzani unaoongoza Kenya

Mfano ni Ghana ambako kilichokuwa chama cha upinzani kinaongoza Serikali ya Nchi hio, now kimekuwa chama tawala, kuungwa mkono na chama CHADEMA ni sahihi mana kabla ya kuwa chama tawala kilikuwa chama pinzani
 

Aya ni matamshi ya kipuuzi. Msiusishe siasa na mauaji wakati uchunguzi haukuonesha ivo. Acheni ujinga
 
Friend of my enemy is enemy
Unamsapot vp Raila while unamuona akiwa na magamba?
Ww ni magamba unayejifanya uko nasi..
Peleka kura yko huko isitutishie na kura yako ya fuata upepo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa alishaharibu kutoa pongezi ni kujichanganya mkuu na nikuendela kudhihirisha mataifa ya nje yanachosema kuhusu utawala huu
Mkuu,mtukufu alishayakoroga tangu mwanzo kuside na mjaluo kwahiyo hata salamu zake akizitoa mtoto wa mjini Uhuru atazichukulia kama zero tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

huyo Odinga alipomsapoti Magufuri na kuwaterekeza ukawa ulitaka wao wamsapoti sasa kwa kumuogopa nini ?

Imepenya hiyooooo wewe mlie mcheke Uhuru tano tenaaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…