Kagame na Rwanda baada yake, "Kumbe vitini ni Maumivu"

Kagame na Rwanda baada yake, "Kumbe vitini ni Maumivu"

Ndo mana alisikilizwa na karudi kwenye kinganyiro tena. Wakati ule hakushonda na mahakama ilithibitisha Hilo. Ingekuwa Africa au Asian countries ameshauawa siku nyingi na Biden
Kweli !
 
Rwanda haikutakiwa kuwa nchi ilitakiwa iwe mkoa km Kigoma au Kagera sema mjerumani aliharibu sana. Kaanchi kadogo haina rasilimali ya maana ndiyo maana Kagame ameganda pale Goma

Huna maoni yoyote kuhusu ukubwa wa Zanzibar, Mauritius, Comoro nk kwa ulinganifu kama nchi ni kwa kigezo Cha ukubwa wa eneo.
 
The bigger your income the bigger your problems !!
Hayo maneno yenye hekima yanaingia kwenye nyanja zote za maisha !!

Kwa mfano Utajiri ni mzigo mkubwa sana ameubeba huyo Tajiri na hakuna njia ya kuutua huo mzigo isipokua njia moja tu ‘Afilisike’ !!
Je atakubali kufilisika ??! Jibu ni kwamba Tajiri huwa haamini kuna maisha hata baada ya kufilisika 😅😅🙏🙏.

Bila kuisahau shughuli pevu ya kuuona ufalme wa mbinguni kwa tajiri.
 
Mwongo huyo. Mbona anaua sana wote wanaogombea urais kwa kuchuana naye kwenye kinganyiro. Anaogopa Nini. Hii inamaanisha uchaguzi ukiwa huru na akaruhusi mashindano atabwagwa mchana kweupe. Wanyarwand hawataki kama ambavyo warusi hawataki putini ndo mana anaua wapinzani wake. Nchi huru na strong ni marekani tu unaweza kushinda bila hata kuwa mwanasiasa. Everything is open and free in America. Other countries are nincompoop headed by china (total dictatorial regimes).

Jpm wanted to disastrous leader those mentioned above
Demokrasia ni ushenzi tu.
Ili Afrika tutoke hapa tulipo inabidi tupambane sana kutoka kwenye hili zimwi la kuitwa demokrasia.
 
Demokrasia ni ushenzi tu.
Ili Afrika tutoke hapa tulipo inabidi tupambane sana kutoka kwenye hili zimwi la kuitwa demokrasia.
Mbona nchi zenye demokrasia ndo zenye maendeleo Sasa. Mfano marekani, uingereza, ujerumani, ufaransa nk
 
Mbona nchi zenye demokrasia ndo zenye maendeleo Sasa. Mfano marekani, uingereza, ujerumani, ufaransa nk
Mbona zote ulizotaja hapo hakuna hata moja inayofuata hiyo demokrasia?
 
Back
Top Bottom