Kagame ni muongozo sahihi katika masuala ya kidini nchi za Afrika

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
48,475
Reaction score
70,102

Linapokuja suala la dini Kagame ndiye kiongozi 'sensible' zaidi katika bara la Africa.
Sasa hivi anafikiria makanisa yaanze kulipa kodi!

Pia soma: Rwanda yafunga makanisa 4,000 na misikiti 100 iliyokiuka vigezo vya usalama

Rais wa Rwanda, Paul Kagame, ametangaza kuwa anaweza kuanzisha kodi kwenye sadaka za kanisa ili kukabiliana na kile anachokitaja kama unyang'anyi na unyonyaji unaofanywa na baadhi ya viongozi wa kiinjili. - Tnx. Africa
 
Kabisa, hizo kodi zi zinaenda kwenye maendeleo ya taifa....

Huyo mungu si anapenda maendeleo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…